Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua zaidi ya chupa mbili.

Uncle Vladimir alitahadharisha huenda akawa mkweli.
 
Mtego wa panada hunasa wahusika na wasiohusika.
Game on
 
Tungekuwa na viongozi wanaofikiri fursa hio.
 
Kuliko kuwekeza kwenye ndege bora tungewekeza kwenye estate za kilimo cha mawese mashamba makubwa,
 
Kuliko kuwekeza kwenye ndege bora tungewekeza kwenye estate za kilimo cha mawese mashamba makubwa,
Kama ambavyo biashara zinazomilikiwa na serikali zinavyofail, uwekezaji huo ungeishia kwenye mifuko ya watu ikiwemo mbolea, pembejeo na mauzo
 
Kama ambavyo biashara zinazomilikiwa na serikali zinavyofail, uwekezaji huo ungeishia kwenye mifuko ya watu ikiwemo mbolea, pembejeo na mauzo
Ni kuwawezesha wakulima sio serikali
 
Mzuka wanajamvi!

Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua zaidi ya chupa mbili.

Uncle Vladimir alitahadharisha huenda akawa mkweli.
Tutumie tu mafuta ya kitimoto, mbona poa tu wananzengo wenzangu, yaani ukichanganya na mafuta ya mkia wa kondoo unatendeneza bonge la Korie, haligandi
 
Aisee inabidi mtaalamu wa maridhiano aende kuokoa Jahazi, ampatanishe Putin na Mabeberu

20220417_110230.jpg
 
Hili jambo no kweli au kuzima kick ya corona virus?
 
Hayo magumu yahee. Tunahitaji mepesi ya kutunga movie za utalii hayo waachie masukuma.
 
kwani wazungu hawali vya nazi?
sisi twala vya nazi shekh! mafuta twashayachoka ati
 
Back
Top Bottom