Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

Mzuka wanajamvi!

Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua zaidi ya chupa mbili.

Uncle Vladimir alitahadharisha huenda akawa mkweli.
Waambie wamlaumu Samia 😂😂
 
N juz TU mama kakopa pesa na mgawanyo wa pesa hizo sekta ya kilimo haijapata hata senti

Wakiwa majukwaan wanawaambia vijana nendeni mkalime utajir upo kwenye kilimo

Na vijana wa kitanzania n makondoo unaweza kuyatumia utakavyo yasifanye chochote yakabak yagugumia chini TU

Vijana mdawakuchukua hatua ndio huu
 
Back
Top Bottom