GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.
2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.
3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye Kujitambua mno na kujua Haki zao kuliko Raia Mabwege wa nchi nyingine.
4. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya wakitembelea Taifa la Raia Mabwege huwashangaa wanavyochezea Fursa zilizoko na wakiendelea kuwa Masikini.
5. Sishangai sana ndiyo maana hata ukiwa Unasoma na Wakenya Darasa Moja mkiwa Darasani Wao ndiyo hupenda mno Kuuliza Maswali ili kupata Uelewa zaidi kuliko wa Taifa la Mabwege ambao wao hutamani Mwalimu / Mhadhiri amalize Kipindi waende katika Baa kupiga Umbea na Kutongozana.
6. Sishangai sana ndiyo maana hata Police wa Kenya wakienda Kumkamata Mkenya huenda na Adabu zote ila katika Taifa la Mabwege Raia wake hukamatwa kama Kuku tena kwa Kudhalilishwa kutokana na Ubwege Wao.
7. Sishangai sana ndiyo maana hata Rais Ruto wa Kenya ana Nidhamu Kubwa kwa Wakenya anaowaongoza akiamini haongozi Maiti tofauti na ilivyo kwa Rais wa nchi ya Mabwege wengi ambae anawafanya atakavyo akiamini kuwa hawana la Kumfanya na Wataendelea Kuyakumbatia matatizo yao makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini mpaka pale Dunia itakapopinduka.
ONYO
Hapa nimeitaja tu nchi ninayoipenda yenye Watu ( Raia ) Werevu ( Intelligent ) pekee ya Kenya na hiyo nyingine yenye 'Mabwege' wengi sijaitaja na Kwanza nimeshaisahau hivyo Wewe njoo na Kiherehere chako ujifanye unaijua ili ukione cha Moto.