Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

Ila watu mabwege kwakweli
Wewe Taifa halina Maji, Umeme na Tozo juu ila 'Mibwege' imeridhika na Kunyamaza tu wakati Wenzao Wafaransa mwaka 1789 walifanya Revolution Kubwa iliyowakomboa baada ya Bei ya Mkate kupanda huku kwa Dharau kabisa Mke wa Mfalme Louis XVI aitwae Queen Marie Antoinette akiwaambia kama hawawezi kununua Mkate basi wanunue Keki ambayo ina Gharama mara Saba ( 7 ) ya huo Mkate ambao ndiyo ulikuwa Kimbilio Kuu la Masikini wengi huko ( kule ) kama GENTAMYCINE Mimi.
 
Naona Sindano yangu taratibu sasa inaanza kuwaingieni Mabwege na hiki ndicho nilikuwa nakitaka na Kimeshafanikiwa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Bwege Nazi
 
Mbona unajihami mr.kidonge😄
 
Naona Sindano yangu taratibu sasa inaanza kuwaingieni Mabwege na hiki ndicho nilikuwa nakitaka na Kimeshafanikiwa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Unahaha kupata maji na umeme afu unasema sindano imeniingia Mimi?

Na bado utalalamika Sana Tena na mvua isinyeshe ili mnyooke vizuri na Hilo joto mtaomba poo..

Mkoani tunakula maisha tuu saizi ndio kwaanza tumeanza kupanda
 
Ndio maana wakenya wakapeleka kikosi cha jeshi pale Goma. Wanataka tall ajichanganye kinuke mazima. Wako Smart sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…