Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia ulianza kupitia maji, yakakaaa weeee yakatokea yale madude ya bluu kama utandao yanaitwa green algae yakaleta oxygen duniani hapo ndio viumbe hai vikaanza. Sema alianza bakteria eti ndio ikaenda ikaenda weee ukatokea binadamu na nyau na panya na kunguru hvyo hvyo hadi leo hii katokea alien na mpinga kristo ametokea, wengine wanasema shetani naye amretokea
Ila kidini wanasema kuna bwana godi ndio amekuumba wewe akakupulizia pumzi ya uhai ukawa mtu hai ndio mwanzo wa uhai
Wengine wanasema eti kuna miungu wanaitwa Annunaki ndio waliokutengeneza wewe na uhai wako ingawa hii nadharia ya annunaki kiasi fulani ikienda mbele inakuja kufanana na ya kuwa mungu ndio amekuumba kutokea kwenye udongo unaoukanyaga na kuutemea makoozi huo huo
Sema ngoja wanaakiolojia, wanasayansi na wafiadini waje na wazee wa upinde nao watakwambia ya shuleni mm ni standadi seveni liva
ni matone mawili yalikutana kwenye utelezi ikawa ilivyo hadi leo.
Kuna maoni mengi juu ya jinsi dunia iliundwa na yako kila mahali. Unaweza kusoma nadharia katika vitabu vya kiada, kutazama maigizo mtandaoni, na kusikiliza mijadala. Kwa nini watu wanashangaa jinsi dunia iliumbwa? Ilikuwa miaka na miaka na miaka kabla hata mmoja wetu kuwepo, kwa nini ni muhimu? Je, inaweza kuwa kwa sababu jibu linaweza kuongoza kwenye jambo muhimu zaidi?Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
Uhai haukuanza bali ulihawilishwa.. Uhai ni roho bila roho hakuna uhai na tafsiri ya roho ni nishati, nishati haiumbwi wala haiharikiki/haribiwi bali inaweza tu kuhawilishwaWadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
short & clear.Uhai haukuanza bali ulihawilishwa.. Uhai ni roho bila roho hakuna uhai na tafsiri ya roho ni nishati, nishati haiumbwi wala haiharikiki/haribiwi bali inaweza tu kuhawilishwa
Kwa sayansi au dini?Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
Sasa kwenye point ya kwanza hiyo kwa nini maji sikuhizi hayabadiliki kuwa kiumbe hai
Nililala Kwa amani kabisa
Ha haha haaaaaaa...
Sa itakuwajeSperms...