Uhai ulianzaje?

Uhai ulianzaje?

Naskia ulianza kupitia maji, yakakaaa weeee yakatokea yale madude ya bluu kama utandao yanaitwa green algae yakaleta oxygen duniani hapo ndio viumbe hai vikaanza. Sema alianza bakteria eti ndio ikaenda ikaenda weee ukatokea binadamu na nyau na panya na kunguru hvyo hvyo hadi leo hii katokea alien na mpinga kristo ametokea, wengine wanasema shetani naye amretokea

Ila kidini wanasema kuna bwana godi ndio amekuumba wewe akakupulizia pumzi ya uhai ukawa mtu hai ndio mwanzo wa uhai

Wengine wanasema eti kuna miungu wanaitwa Annunaki ndio waliokutengeneza wewe na uhai wako ingawa hii nadharia ya annunaki kiasi fulani ikienda mbele inakuja kufanana na ya kuwa mungu ndio amekuumba kutokea kwenye udongo unaoukanyaga na kuutemea makoozi huo huo

Sema ngoja wanaakiolojia, wanasayansi na wafiadini waje na wazee wa upinde nao watakwambia ya shuleni mm ni standadi seveni liva
 
Sasa kwenye point ya kwanza hiyo kwa nini maji sikuhizi hayabadiliki kuwa kiumbe hai
 
Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
Kuna maoni mengi juu ya jinsi dunia iliundwa na yako kila mahali. Unaweza kusoma nadharia katika vitabu vya kiada, kutazama maigizo mtandaoni, na kusikiliza mijadala. Kwa nini watu wanashangaa jinsi dunia iliumbwa? Ilikuwa miaka na miaka na miaka kabla hata mmoja wetu kuwepo, kwa nini ni muhimu? Je, inaweza kuwa kwa sababu jibu linaweza kuongoza kwenye jambo muhimu zaidi?

Dunia na ulimwengu vyote vina asili. Zote mbili pia zimetengenezwa nje ya maada. Sheria ya Uhifadhi wa Mambo inasema kwamba vitu haviwezi kuumbwa au kuharibiwa—kwa hivyo ni nini asili ya jambo ambalo lilitumiwa kuunda dunia na ulimwengu unaozunguka? Je, tunatokaje mahali ambapo hapakuwa na kitu na kisha kitu kitambo kidogo baadaye? Biblia ina maelezo.
 
Fuga fungus mzee utaelewa uhai ulianzaje, kuna kipindi niliotwa fungus yaan nawaona kabisa wananitembea wanapiga misele kwenye kidole hapo ndio nikaona yes kweli na mimi naweza nikaanzisha uhai, sasa na wewe jaribu kufuga fungus utaelewa uhai ulianzaje Ila angalizo fungus wanatesa mwili
 
Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
Kwa sayansi au dini?
Tusikupotezee mda tu hapa kuna wimbi la wajinga unaweza kueleza kisayansi mda mrefu alafu pimbi mmoja mjuawaji asiyejua ikawa ndio mjuaji sana
 
Anza na wewe, uhai wako ulianza lini? Mimi ninawaza ni mda ule mbegu iliungana na yai. Umri wangu ni 60, ila uhai wangu ni 60 na miezi 9.
 
Back
Top Bottom