Uhai ulianzaje?

Uhai ulianzaje?

Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?

Uhai umeanzia kwenye maji, (sio maji haya tunayokunywa na kufulia nk) billions of years ago.

Hayo maji (biotic soup) kipindi hicho yalipopigwa na nuru ya jua ya moja kwa moja (the direct sun rays/light) ndipo vitendo vya kikemia vilitendeka kwenye hayo maji (Biotic soup)--- kwa maneno mengine hayo maji (biotic soup/maji uhai) yalikuwa ni mchanyiko wa elements na compounds mbalimbali (ni hizi hizi zilizopo leo duniani)
zilizojikusanya katika mipangilio maalumu mbalimbali na hiyo nuru ya jua ilipozipiga ikawa ndio kichocheo (catalyst) cha hiyo soup kutenda kitendo cha kikemikali na hivyo kutengeneza viumbe hai wa aina mbalimbali kulingana na mchanganyiko wa hiyo biotic soup ulivyokuwepo na ndio maana viumbe hai tupo tofauti na hiyo ni kulingana na aina tofauti za biotic soups.

Nuru ya jua ya moja kwa moja ni ile nuru isiyozuiwa na Ozone layer yaani ni nuru iliyojaa UV rays (Ultra violet rays) na ndio hizi rays zilisaidia reaction katika biotic soup ili viumbe hai wakazaliwa hapa ardhini, Mungu anasema kwenye Qur'an tukufu; Allah amewaotesheni ardhini kama mimea (sikumbuki aya), Pia Amesema; Kila kiumbe hai kimetokana na maji (sikumbuki aya).

Mtu anaweza kuuliza; sasa imekuaje hatuoni tena viumbe wakitokea kama ilivyokuwa hapo awali??-- jibu ni hili; Hivi sasa mwanga wa jua hauji moja kwa moja duniani kama hapo awali, ozone layer inauchuja isitoshe hayo maji ya uhai (biotic soup) hayapo tena kama yalivyokuwa hapo awali na yote yametiririshwa na kuwa bahari hizi tunazoziona leo, hiyo chumvi ya bahari ndio zile elements na compounds zilizotumika kuundia Biotic soups, isitoshe Mungu alitaka mpango huo ufe ili uje mpango mpya wa kuzaliana kwani mpango wa biotic soup ulikuwa ni mpango wa kuzalisha mbegu za viumbe hai (progenitor scheme), na katika hao viumbe hai wa mwanzo (progenitors) kuumbwa kwa njia hiyo walikuwa wote wa kike ndipo hao wakazaa uzao wa kike na kiume.

Katika uumbaji huo wa awali inasemwa mtu ndiye alikuwa kiumbe hai wa mwisho kuumbwa.
 
Unataka jibu la kisayansi au jibu la kutoka mashariki ya kati
 
Naskia ulianza kupitia maji, yakakaaa weeee yakatokea yale madude ya bluu kama utandao yanaitwa green algae yakaleta oxygen duniani hapo ndio viumbe hai vikaanza. Sema alianza bakteria eti ndio ikaenda ikaenda weee ukatokea binadamu na nyau na panya na kunguru hvyo hvyo hadi leo hii katokea alien na mpinga kristo ametokea, wengine wanasema shetani naye amretokea

Ila kidini wanasema kuna bwana godi ndio amekuumba wewe akakupulizia pumzi ya uhai ukawa mtu hai ndio mwanzo wa uhai

Wengine wanasema eti kuna miungu wanaitwa Annunaki ndio waliokutengeneza wewe na uhai wako ingawa hii nadharia ya annunaki kiasi fulani ikienda mbele inakuja kufanana na ya kuwa mungu ndio amekuumba kutokea kwenye udongo unaoukanyaga na kuutemea makoozi huo huo

Sema ngoja wanaakiolojia, wanasayansi na wafiadini waje na wazee wa upinde nao watakwambia ya shuleni mm ni standadi seveni liva
Ulicho andika hapo juu [emoji23][emoji23][emoji23]Ni utopolo umepatia tuu kuwa maisha yalianzia kwenye maji
 
Uhai umeanzia kwenye maji, (sio maji haya tunayokunywa na kufulia nk) billions of years ago.

Hayo maji (biotic soup) kipindi hicho yalipopigwa na nuru ya jua ya moja kwa moja (the direct sun rays/light) ndipo vitendo vya kikemia vilitendeka kwenye hayo maji (Biotic soup)--- kwa maneno mengine hayo maji (biotic soup/maji uhai) yalikuwa ni mchanyiko wa elements na compounds mbalimbali (ni hizi hizi zilizopo leo duniani)
zilizojikusanya katika mipangilio maalumu mbalimbali na hiyo nuru ya jua ilipozipiga ikawa ndio kichocheo (catalyst) cha hiyo soup kutenda kitendo cha kikemikali na hivyo kutengeneza viumbe hai wa aina mbalimbali kulingana na mchanganyiko wa hiyo biotic soup ulivyokuwepo na ndio maana viumbe hai tupo tofauti na hiyo ni kulingana na aina tofauti za biotic soups.

Nuru ya jua ya moja kwa moja ni ile nuru isiyozuiwa na Ozone layer yaani ni nuru iliyojaa UV rays (Ultra violet rays) na ndio hizi rays zilisaidia reaction katika biotic soup ili viumbe hai wakazaliwa hapa ardhini, Mungu anasema kwenye Qur'an tukufu; Allah amewaotesheni ardhini kama mimea (sikumbuki aya), Pia Amesema; Kila kiumbe hai kimetokana na maji (sikumbuki aya).

Mtu anaweza kuuliza; sasa imekuaje hatuoni tena viumbe wakitokea kama ilivyokuwa hapo awali??-- jibu ni hili; Hivi sasa mwanga wa jua hauji moja kwa moja duniani kama hapo awali, ozone layer inauchuja isitoshe hayo maji ya uhai (biotic soup) hayapo tena kama yalivyokuwa hapo awali na yote yametiririshwa na kuwa bahari hizi tunazoziona leo, hiyo chumvi ya bahari ndio zile elements na compounds zilizotumika kuundia Biotic soups, isitoshe Mungu alitaka mpango huo ufe ili uje mpango mpya wa kuzaliana kwani mpango wa biotic soup ulikuwa ni mpango wa kuzalisha mbegu za viumbe hai (progenitor scheme), na katika hao viumbe hai wa mwanzo (progenitors) kuumbwa kwa njia hiyo walikuwa wote wa kike ndipo hao wakazaa uzao wa kike na kiume.

Katika uumbaji huo wa awali inasemwa mtu ndiye alikuwa kiumbe hai wa mwisho kuumbwa.
Ulianza vizuri ila ulipo weka allah ndio umeyumba.. Nisiongee sana
 
Allah ndiye aliyeumba zile elements na compounds zilizotengeneza Biotic soup, Allah.ndiye aliyeumba jua linalowaka kwa njia ya nuclear fusion reaction, Allah ndiye aliyesema kaumba viumbe hai kutokana na maji na ni kutokana na kauli hiyo ndipo wanasayansi wakaanza kudadisi ni maji gani hayo??!! ndipo wakajua kumbe hayo maji ni Biotic soup.

Huwezi aslan kumuepuka Allah/Mungu katika kila jambo jema, na hata wewe Yeye ndiye kakuumba na kakupa hiyo jinsia uliyonayo.
 
Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
"Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana,
kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je,
hawaamini? "

"Do not the Unbelievers see that the heavens and the earth were joined together (as one unit of creation), before we clove them asunder? We made from water every living thing. Will they not then believe?"

21:30 qur an

Mwenyezi mungu ndio mjuzi zaidi
 
Back
Top Bottom