Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!

Wanabodi,
Mabandiko mengine sio mabandiko ya kitoto!, ukijiona huelewi, we jipitie tuu!.

Angalizo la Alama ya Kuuliza "?".
Mimi mwenzenu jameni, nimewahi kuitwa mahali na kufikishwa mbele ya kamati fulani kwa kutuhumiwa nimesema statement fulani!, kumbe masikini mimi, sikutoa statement, niliuliza tuu!. Aliyenituhumu, hakuiona alama ya kuuliza, hivyo naomba kutoa angalizo la alama ya kuuliza?, bandiko hili sio la statement ni bandiko la swali.

Bandiko hili ni moja ya mabandiko yangu ya dhana dhanifu kuwa kuna uwezekano na huyu naye pia anadanganywa na amedanganyika!.

Leo nimeisikia tena dhana ya uhaini, ikitajwa mahali!, the voices behind inaniambia anadanganywa na amedanganyika!.
Hii issue ya uhaini nimewahi sio tuu kuizungumzia humu, bali nimeiandikia makala View attachment 3098981 Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo
Humo nilisema
Uhaini Tanzania..., My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika?. Mimi ni Tomaso, I Don't Believe This at All!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!.

Nimesema hili sio bandiko la watoto kwasababu natafuta the motives behind such lies ili kumjulisha mtu wetu inawezekana kuwa anadanganywa na watu wake, hivyo kama mtu ukidanganywa na watu wako unaowaaminia bila wewe kujua unadanganywa, ukidanganyika sio kosa lako wewe
unaodanganywa,; kwasababu hao wanaokudanganya ni watu wako unao waaminia, hivyo kudanganyika ni halali yako!, ila kosa ni la hao wanao kudanganya, na siku ukiujua ukweli kuwa ulikuwa unadanganywa, ndipo utaelewa kuwa ni kweli hapa duniani kuna watu na viatu, wengine ukiwaona machoni ni kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa wamwaga damu za watu!.

Hii sio mara ya kwanza kwa hao watu kufanya vitendo na madudu ya ajabu ajabu kisha kudanganya mamlaka juu ku justify udhaoimu wao.

Enzi za Nyerere, alikataa na akawatundika msalabani baadhi yao na kuwafagia toka juu mpaka chini, ndio maana enzi za JPM, tulishauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Nyerere aligoma kudanganywa, Mwinyi akadanganywa, Mkapa akadanganywa kwenye ubinafsishaji. Jakaya akadanganywa sana tuu kwenye rasilimali zetu. Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika?

JPM mwanzo aligoma kudanganywa na kudanganyika kwenye rasilimali zetu, akakaza, akabana na kukaba, tukauliza humu ataweza? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? kiukweli JPM alikuwa ni chuma, alikaza, vyuma vikabana, akabana akabana mwisho akaachia!
Mimi ni mtu wa mastori stori, kuna watu wanapenda mastori mastori na wana muda wa kusoma makitu marefu, na kuna wako wako busy hawana time na mastori, wao wanataka vitu short and clear. Wale wa mastori tuendelee, wale wa short and clear, just jump to the conclusion
Baadhi ya matukio ya ajabu ajabu kisha kuvalishwa uongo

Huu uhaini unaoelezwa sasa, ni uhaini wa aina gani?!.

Inawezekana yule Mzee wa watu (Mungu amuweke mahala pema peponi), kwa vile ni mstaafu wa jeshi, anawezekana anahesabika ndiye the strategist, hivyo kuhesabika ni mtu hatari he had to go!. Watekelezaji wakajua tukiharibu sura kwa acid hatatambulika tena!. Mwili umeokotwa Ununio Jumamosi asubuhi, ni polisi wameuchukua na kuu dump mortuary ya hospital ya Mwananyamala. Jumamosi mchana polisi haikutoa taarifa yoyote kuokota mwili wowote, bali Kamanda Musiime alitangaza Jeshi la Polisi kumtafuta huyo Mzee!. Jumamosi usiku ndio ndugu wanautambua mwili!.

Kufuatia kelele nyingi, CinC akatoa amri ya kufanyika uchunguzi wa kina!. Sasa ili kujikosha na kujisafisha, ikabidi itengenezwe script ya movie ya uhaini, ili ku justify kwa CinC why ameshughulikiwa!, wale mnao subiria taarifa ya uchunguzi wa tukio hilo, endeleeni kusubiria, kama ni wasiojulikana, taarifa itatolewa lakini kama ni 'wasiojulikana', tutasubiri sana kama taarifa ya tukio la pyu pyu za Tundu Lissu!.
Binadamu wote ni sawa, thamani ya uhai wa mtu na roho ya mtu, inalingana, huwezi kumtoa mtu uhai kivile, baada ya kelele za kitaifa na kimataifa, unaamua kutunga script ya uhaini!, na kweli jana CinC kakasirika kweli kweli!, yeye hajui kuwa ni script!.

Huu ni ushuhuda wangu jinsi PT wanavyo bambikia watu kesi mbaya, hawachelewi kubambikia watu uhaini!.

Conclusion
The bottom line ni polisi wetu wana bambika watu kesi mbaya hadi za mauaji!, hivyo hawezi kushindwa kubambika uhaini!.

Hivyo mtu ukihisiwa tuu wewe ni hatari kwa usalama wa the status quo, unabambikiwa kesi, unapotezwa, na sasa hadi uhaini unazungumzwa!.

Kwa vile mimi ni Tomaso, siamini kabisa dhana ya uhaini mpaka tuthibitishiwe!.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Kwa nini nguvu kubwa zaidi imeelekezwa kwenye kupinga suala hili la kukomesha utekaji badala ya kujielekeza kwenye kufanya uchunguzi wa kina ili kuwabaini hao watekaji?¿
 
Siku zote ninatatizika sana na ufahamu wa watanzania, awe msomi wa level yoyote hadi asiyejua a wala be, hii ni systematic incompetence utakayoikuta kila mahali, serekalini, siasani, private sector na kila idara, wakala, mashirika, hata kwenye majeshi etc. Nashindwa kujua ni kwa sababu tunasoma in English ili kujibia maswali ya mitihani tupate GPAs na vyeti tu?, je tunakua half cooked, au hatupati maarifa kwa sbb ya lugha, au ni utapiamlo wa akili zetu tu tangu tunapozaliwa??. Maafisa wetu wanaprove mediocre muda wote na tunashindwa kila kitu kwa ujumla, kwa kweli tunahitaji tafiti za kutosha, na hata hizo tafiti nani atafanya wkt maprofesa wetu hawahawa wanatuletea maji machafu yaliyofuatwa kwa ndege nchi zingine na kusema ni dawa ya covid??? Hamna mahali penye performance inayotakiwa countrywide shida nini? Hii ni moja tu ya vitu wanavyofanya wakubwa na kushauri mamlaka bila kujua impact yake in long terms kisheria, kiutawala, kisiasa etc, anatoa ushauri unaotaka umakini na analysis kubwa kwa majibu mepesi tu kama haya, huenda kwa maslahi yake tu au ulevi tu ili mtawala aache kuuliza au potelea mbali au huenda basi lipite.

Kuna muda unasikia interview za watu wakubwa kbs unaowaheshimu sawasawa unajikuta unafumba macho yani na kujiuliza huyu ndo anasema atatuletea maendeleo kweli? Au ndo mlinzi wa rasilimali za taifa huyu, au ndo mtaalam wa tiba nimpe mwili wangu aupasue? Unabaki kusikitika tu. Hatimaye unasema tu why nilizaliwa hii nchi, then unasema ah maisha mafupi tu haya ngoja niangalie yangu basi tu. Mtu aliyeshauri haya kwa sehemu kubwa sio kadanganya hapana, ni mwisho wa ufahamu wake na haelewi hivi vipengele vyote vya kisheria kuqualify uhaini. Waliokuwepo kipindi cha kesi ya uhaini watakubaliana nami namna wataalam, wahusika kwenye uhaini wenyewe na wanasheria jinsi walivyokuwa wanadadavua ile kesi hadi mtu unapenda sheria mwenyewe. Hadi ilifikia mtu kama Lt Eugene Maganga wkt anasimulia akaitwa msomi asiye na degree, caliber ya wale wanasheria kina Lakha na hata Judge Mnzavas na maafisa wa jeshi sidhani kama utawapata tena kwa wasomi wetu wa kisasa na sidhani kama kuna maafisa wa jeshi competent kama walivyokuwa wale jamaa. Wa leo wanajua kutumia mijinguvu tu, so sad!
 
Umeeleweka sana mkuu nchi imejaa vilaza Kila Kona ni majuto tu kuzaliwa Tanzania.
 
"

"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hivyo mtu ukihisiwa tuu wewe ni hatari kwa usalama wa the status quo, unabambikiwa kesi, unapotezwa, na sasa hadi uhaini unazungumzwa!.
Umekua Very straightforward wala mada haina ugumu wowote. Mtuhumiwa hawezi kujichunguza.....ninachoogopa ni kwamba wanaweza kutengeneza matukio makubwa Zaidi ili wanufaike zaidi..
 
Umewaza kama nilivyowaza Mkuu.
Ni kana kwamba jana ndo tulikuwa tunapewa report rasmi na tusitarajie nyingine.
Wa kusubiria waendelee kusubiri, ila watasubiri sana.
 
Back
Top Bottom