the ostrich eggs
JF-Expert Member
- Sep 14, 2026
- 299
- 184
Ni kutengeneza tahatuki na huruma kwa wakatili aka mabepariKESI ILIISHA KWENYE VIDEO HUKU KUENDELEA NI KUTAFUTA LAANA ZA KIZAZI CHAKE
Unaogopa kulala peke yako na wewe mwanaume
ulitaka uwekwe selo na nani
mke wa Mwenyekiti unayemuita mzalendo siyo raia wa TanzaniaBro wewe kweli ni mayai ya Ostrich.
unayemuita mzalendo, familia yake (watoto wake), Mwenyekiti si raia wa TanzaniaBro wewe kweli ni mayai ya Ostrich.
mzalendo ni mtu anayehimiza ujenzi wa taifa lake?Bro wewe kweli ni mayai ya Ostrich.
TAL is a GREAT TEACHER he know how to articulate issues hadi unaelewa!Hapa Tundu Lissu lazima anyongwe
View: https://www.youtube.com/watch?v=vxDqeVBOJ10
ALICHOKUWA ANAMAANISHA KWA MUJIBU WA Nassoro Katuga
1. ATAPINGA KWA KULETA VITA
2. Mlihamasishana na wananchi kwenda Magomeni.
3. Mlikuwa kundi, ikabidi Polisi wawatawanye
4.