Uhakika wa Ubingwa wa NBC premier league 2021/22 kwa Simba unatokana na nini?

sawa. Tunafahamu lolote lawza kutokea. Sasa uhakika wa timu fulani kubeba ubingwa unatoka wapi ikiwa ipo nyuma? Yani hakuna sehemu watu wa Simba wanakili kuwa wanategemea Yanga ajikwae. Hapa ndipo kwenye shida
Kwenye soka lolote linaweza kutokea..Yanga anaweza kuflop simba akatake advantage..lkn kiuhalisia tayari bingwa alishapatikana tangu msimu unaanza kinachoendelea sasa hv ni ushahidi tu wa kukamilisha ratiba.
 
Simba wakimfunga Yanga watapunguza pointi 3. Sasa watakuja na mkakati gani wa kuwafanya Yanga wapoteze zaidi? Yani suala la Yanga kupoteza kwenye mechi zisizowahusisha wao linawezaje kuwa ndani ya uwezo wa Simba?
 
Nadhani hakuna mwenye uhakika. Hata Yanga pia.
Sasa ni wakati wa kuongea logic na sio kishabiki
Simba wakimfunga Yanga watapunguza pointi 3. Sasa watakuja na mkakati gani wa kuwafanya Yanga wapoteze zaidi? Yani suala la Yanga kupoteza kwenye mechi zisizowahusisha wao linawezaje kuwa ndani ya uwezo wa Simba?
 
Ni ukweli Yanga wapo kwenye nafasi nzuri ya kubeba Ubingwa msimu baada ya kusanda kwa miaka minne. Ila changamoto iliyopo ni ikitokea wale key players wamepata majeruhi huwa wanapoteana sana . Kwa mfano sasa hivi Aucho, Muloko , Saido na baadhi ya first eleven ni majeruhi.
 
hata Mayele mwenyewe hajui km atafunga sembuse kuchukua ubingwa.

Ila mashabiki bhana utafikiri wao ndiyo watacheza hizo mechi, kumbe wanasubiri wachezaji wacheze.
Aliekwambia Mayele Hajui Kama Atafunga Nani? Ikiwa Tu Kabla Ya Mechi Na Geita Gold Alimuhaidi Mtoto Wake Atafunga Goli Kama Zawadi Ya Siku Ya Birthday Yake Na Wala Hata Dk Moja Haikutimia Mwanaume Akaweka Kambani [emoji23]....Na Hata Kwenye Ubingwa Pia Tunajua, Tunajua Kama Tumebakiza Mechi Kumi Tuwavue Ubingwa Makolo Nyie Then Young Africans Tuwe The New Champions Of Football In Tanzania Na Kwa Mambo Jinsi Yanavyokwenda Hili Ni Suala Ambalo Liko Wazi Kama K Ya Mbuzi [emoji41].....Wewe Kama Mastriker Wako Hawajui Kama Watafunga Au La Kabla Ya Mechi Iyo Ni Kwenu Nyie Na Timu Lenu Na Kama Pia Hamjui Kama Mtachukua Ubingwa Au La Iyo Ni Mtajua Wenyewe Na Timu Lenu Vile Vile....Ila Sisi Kama Dar Es Salaam Young Africans Mambo Yetu Tunayajua [emoji4]
 
Mmmmh
 
Hyo namba 2 ya uhakika wa kupata point 3 dhidi ya Yanga Simba wanautoa wapi ..? Kipindi ambacho Simba anajinadi kuwa na kikosi kipana hajawahi kumfunga Yanga kwenye ligi kuu Sasa ni kama msimu wa 3 au 4 Simba hajawahi kushindi dhidi ya Yanga..
Simuoni Simba akishinda mbele ya Yanga hii zaidi ya kuingia kwa tahadhari iliYale ya 25 September yasijirudie..
 
Dah! Unapoteza kumbukumbu kiasi hicho mkuu? Hukumbuki goli la Kagere ?( Simba 1 , Yanga 0). Hukumbuki goli la Nyoni kwa kichwa ( simba 1, Yanga 0). Achana na hiyo . Hata magoli 4 , 1 kombe la shirikisho na huko umesahau? kule kigoma nako umeshasahau?
 
Swali hili bado halijajibiwa kitaalam
 
Ni sahihi
 
Dah! Unapoteza kumbukumbu kiasi hicho mkuu? Hukumbuki goli la Kagere ?( Simba 1 , Yanga 0). Hukumbuki goli la Nyoni kwa kichwa ( simba 1, Yanga 0). Achana na hiyo . Hata magoli 4 , 1 kombe la shirikisho na huko umesahau? kule kigoma nako umeshasahau?
Binadamu niwasahaulifu sana
 
Vp game ya jana
 
Dah! Unapoteza kumbukumbu kiasi hicho mkuu? Hukumbuki goli la Kagere ?( Simba 1 , Yanga 0). Hukumbuki goli la Nyoni kwa kichwa ( simba 1, Yanga 0). Achana na hiyo . Hata magoli 4 , 1 kombe la shirikisho na huko umesahau? kule kigoma nako umeshasahau?
Wamekaririshwa wao ni mabingwa wa kihistoria
 
Ndo mmeanza kujua ubingwa mtachukua baada ya kuona nini labda? Miaka yote 4 hamkua na hyo tabia eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…