- Thread starter
- #21
sawa. Tunafahamu lolote lawza kutokea. Sasa uhakika wa timu fulani kubeba ubingwa unatoka wapi ikiwa ipo nyuma? Yani hakuna sehemu watu wa Simba wanakili kuwa wanategemea Yanga ajikwae. Hapa ndipo kwenye shida
Kwenye soka lolote linaweza kutokea..Yanga anaweza kuflop simba akatake advantage..lkn kiuhalisia tayari bingwa alishapatikana tangu msimu unaanza kinachoendelea sasa hv ni ushahidi tu wa kukamilisha ratiba.