VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Nani anashida natetesi leta habari kamili tusidanganyane hapa ili mradi uonekane na wewe umetoa uziWakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Mh! Naskia cheti chake cha shule ya msingi kilipotelea kwenye miamba wakati anafanya utafiti.Kama ni kweli wapo watoto walioonewa na kutupwa nje kielemu na wao kuendelea bora yule sos wa umeme ambaye machache alimsema kuwa karudia mara tatu leo ni professa??!!!
lazima wawe wakali sababu miaka yao wengi walisoma kwa kuunga unga and wengine walisoma nje ya nchi bila kuzingatia elimu waliokuwa nayo sekondari! kuna true story ya mtu mmoja sasaivi ni Prof pale SUA but hapo kabla alifika la saba then akaajiriwa shamba boy na mwingereza moja then baadae alimpleka uingereza akaaza course ya certificate akapiga diploma then degree and kwa ufaulu wake alipokuwa masters wamlipaga Phd moja kwa moja! ila kupewa Phd bila kufanya masters sio tatizo,ni kawaida! ila washkaji wake walikuja juu baada ya mshkaji wao baada ya kuishi uigereza kama 8 years karudi ana Phd na wanamkumbuka vyema kwamba kaishia la saba! and alikuwa shamba boy!Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Aisee, Unafurahisha sana wewe, sina mbavuUkitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Mbona hata mimi sikumbuki namba yangu? Huu ni utoto sasa.Ukitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Wewe uliwasilisha chako cha sekondari?Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Lazima tuheshimiane.Yaani uforge cheti halafu uachwe.Haiwezekani.Tatizo ni cheti cha form four au kichwani mwake elimu ya profesa anayo maana kama Hana cheti lakini elimu ya kiprofesa ipo tatizo nini
umeona hii ndiyo tanzania tunayoitakaLazima tuheshimiane.Yaani uforge cheti halafu uachwe.Haiwezekani.