Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha ngumu kweli kuielewa ila nashukuru nimekuelewa[emoji106]Kama ni kweli wapo watoto walioonewa na kutupwa nje kielemu na wao kuendelea bora yule sos wa umeme ambaye machache alimsema kuwa karudia mara tatu leo ni professa??!!!
kweli si unajua mambo ya mitandao unaweza ukabebwa kuwa eti umetukana mtuLugha ngumu kweli kuielewa ila nashukuru nimekuelewa[emoji106]
Kabisa tenakweli si unajua mambo ya mitandao unaweza ukabebwa kuwa eti umetukana mtu
Nasikia kuna baadhi ya ofisi watu wamekimbia kwa kuhofia hiyoUnajua hii kitu ni changamoto kubwa sana. Wengi wa wafanyakazi wameingia makazini kwa figisu figisu. Ukisema ukague vyeti......kutakuwa na vilio na kusema meno. Lakini lazima tuanzie somewhere...tujifunze kula kwa jasho. Kama huna cheti basi urudi shule ukitafute.
Anayehakiki wenzakeNani?
Kweli, wangehakiki mpaka vya darasa la saba na majina yao na wangeanza hata kwa mawaziri mfano yule wa mambo ya ndani nkHili zoezi limeshafeli!
hata gavana wa zamani wa bot alianzia ufagizi mpaka dklazima wawe wakali sababu miaka yao wengi walisoma kwa kuunga unga and wengine walisoma nje ya nchi bila kuzingatia elimu waliokuwa nayo sekondari! kuna true story ya mtu mmoja sasaivi ni Prof pale SUA but hapo kabla alifika la saba then akaajiriwa shamba boy na mwingereza moja then baadae alimpleka uingereza akaaza course ya certificate akapiga diploma then degree and kwa ufaulu wake alipokuwa masters wamlipaga Phd moja kwa moja! ila kupewa Phd bila kufanya masters sio tatizo,ni kawaida! ila washkaji wake walikuja juu baada ya mshkaji wao baada ya kuishi uigereza kama 8 years karudi ana Phd na wanamkumbuka vyema kwamba kaishia la saba! and alikuwa shamba boy!
so usiwashangae sana na wao ndio wale wale! sema tunawahe
Wanaanza na MboweWaanze na JMakamba, kibajaji, bulembo...............................,.............
Hilo siyo tatizo, tatizo ni huyo mkurupukaji amekariri.lazima wawe wakali sababu miaka yao wengi walisoma kwa kuunga unga and wengine walisoma nje ya nchi bila kuzingatia elimu waliokuwa nayo sekondari! kuna true story ya mtu mmoja sasaivi ni Prof pale SUA but hapo kabla alifika la saba then akaajiriwa shamba boy na mwingereza moja then baadae alimpleka uingereza akaaza course ya certificate akapiga diploma then degree and kwa ufaulu wake alipokuwa masters wamlipaga Phd moja kwa moja! ila kupewa Phd bila kufanya masters sio tatizo,ni kawaida! ila washkaji wake walikuja juu baada ya mshkaji wao baada ya kuishi uigereza kama 8 years karudi ana Phd na wanamkumbuka vyema kwamba kaishia la saba! and alikuwa shamba boy!
so usiwashangae sana na wao ndio wale wale! sema tunawahe
Hapana, elimu ina steps na katika msingi hasa secondary school huwezi kuruka step!Hoja yenu haijaeleweka. Ungehoji je, hiyo PhD kaisomea kweli au hapana. Mengine yote ni blabla tu.