Tetesi: Uhakiki ni mbinu kuchelewesha Nyongeza Mishahara

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini Mexico
 
fanyeni kazi watumishi serikali hii ni ya wanyonge
 
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini Mexico

Huyo raia wa Mexico aliyetoa hii tetesi kakumbwa tu na wasiwasi baada ya cheti chake magumashi kufanikiwa kupita mara ya kwanza mara hii anaona hana pa kuchomokea ndio maana kaleta uzushi. Badala ya tetesi neno la kufaa lingekuwa uzushi kwani wafanyakazi halali wanafahamu huwa wanalipwa mapunjo hali kama hii ikitokea kwa sisi wafanyakazi wa Mexico!
 
hivi kwa nini mnawaaminisha watu uongo...watumishi hatulalamiki lkn nyie mnalalamika as if nyie ndo watumishi....tumeridhika na mshahara wetu..mheshimiwa raisi wa mexico endelea kukaza uzi...sisi tunakusapoti...asiyetaka aache kazi.....kwanza nyongeza ya mshahara sio lazima....mkataba wangu wa kwaza unaonyesha kuwa mshahara wangu utakuwa....,, hawa wazee wa kulalamika watasema kila mwaka tuingie mkataba mpya mshahara ukiongezeka....maana hauonekani kwenye mkataba...... by mtumishi wa serikali ya mexico
 
Ninaamini serikali isipopandisha mishahara...ikaendelea kusimamamisha kupanda vyeo..ajira na kutoKulipa madeni ya nyuma.

Utakuwa ndiyo utaratibu wa Tanzania na utazoeleka. Watanzania hawana shida. Kila kitu kwao ni poa bora wakizoee tu
 
Hakuna nyongeza fanyeni kazi. Miaka yote mnapewa nyongeza, ila mnakula tu
 
..hii inasikitisha sana sana utawala huu....katika jambo wanalofanya hovyo ni hili la kuwaweka rehani wafanyakazi wote kwa kigezo cha uhakiki wa watumishi hewa....hili linaumiza sana na kwa kweli morali ya kazi wengi hawana....Ifike mahali sasa tucta waanze kupiga kelele...maana watumishi wamekuwa kama mayatima wasiokuwa na mtu wa kuwasemea.....mwisho wa haya yote ni utendaji duni....katika jambo ambalo utawala wa JK waliweza kulifanya ni kupandisha watumishi vyeo na mishahara..at least kila mwaka....pamoja na mapungufu yao yoote...sasa utawala huu wa sasa sijui hili hawalioni???
 
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini Mexico
Una IQ ya juu sana.Ni mtanzania kweli?Nikiwa rais utakuwa msaidizi wangu mkuu.Na wewe usinisahau.
 
Unawezaje kufanya kazi kwa ufanisi huku watoto hawajitoshezi kwa mahitaji ya lazima ya kibinadamu
 
Ifike wakati sasa watumishi nao wapatiwe stahiki zao!
huu ni uonevu, kila wiki watu wana hakikikiwa, hakuna saa ya kulipana.
mwezi huu sasa uwe wa mwisho, vinginevyo na sisi tuihakiki serikali kama ina hakiki kweli!
watumishi wanahitaji nyongeza za mishahara!
vijana waliomaliza shule wanahitaji ajira mpya!
wapo watumishi wanasubiri kupanda vyeo!
haya yote yalisimama sababu ya uhakiki, kama wengi mtakumbuka, zoezi hili lilianza November, hadi sasa tunafikia 1/5 ya umri wa serikali husika!
enough is enough, hatusemi zoezi lisimame, linaweza kuendelea kwa miaka yote ya uhai wa Tanzania, lakini zoezi hili lisizuie tena mambo mengine ya ajira kusimama!
kama kuna sababu nyingine za kushindwa kuyatimiza hayo yaliyotajwa hapo juu tuambiwe, lakini hewa tena isiwe sababu!
 
CCM.NI MZOGA
 
Nyongeza ya mishahara ni 2019 ili mfurahi muwape kura tena.
 
Mshahara unaongezwa kutokana na hali halisi ya kipato cha serika,
Sasa hivi lazima mlilie kuongezewa mishahara,line zote zimekufa!
Waambie vijana nafasi za ajira ni ndogo sana,waingie tu katika kujiajiri wasisubiri ajira ya serikale
 
Vibaka ndo wamewafikisha hapo mlipo....usilaumu Serikali ya awamu ya 5
 
Back
Top Bottom