Tetesi: Uhakiki ni mbinu kuchelewesha Nyongeza Mishahara

Tetesi: Uhakiki ni mbinu kuchelewesha Nyongeza Mishahara

Wasinge ahidi nyongeza kusingekuwa na shida.Mkuu alisema hatawaangusha,matokeo yake uhakiki usio na mwisho!
Tutarajie ufanisi wa hali ya chini,kwenye utekelezaji wa majuku ya watumishi
 
Ifike wakati sasa watumishi nao wapatiwe stahiki zao!
huu ni uonevu, kila wiki watu wana hakikikiwa, hakuna saa ya kulipana.
mwezi huu sasa uwe wa mwisho, vinginevyo na sisi tuihakiki serikali kama ina hakiki kweli!
watumishi wanahitaji nyongeza za mishahara!
vijana waliomaliza shule wanahitaji ajira mpya!
wapo watumishi wanasubiri kupanda vyeo!
haya yote yalisimama sababu ya uhakiki, kama wengi mtakumbuka, zoezi hili lilianza November, hadi sasa tunafikia 1/5 ya umri wa serikali husika!
enough is enough, hatusemi zoezi lisimame, linaweza kuendelea kwa miaka yote ya uhai wa Tanzania, lakini zoezi hili lisizuie tena mambo mengine ya ajira kusimama!
kama kuna sababu nyingine za kushindwa kuyatimiza hayo yaliyotajwa hapo juu tuambiwe, lakini hewa tena isiwe sababu!
Huo ni usani tu wala hakuna ukweli wowote wewe fikilia tangu mwezi wa 7 mpaka leo ni kiasi gani watumishi wamepoteza?
 
Tunahitaji katiba mpya hatutaki raisi anaejifanya mungu tungekuwa na mifumo mizuri tu tusingefika huku
 
Back
Top Bottom