Tetesi: Uhakiki ni mbinu kuchelewesha Nyongeza Mishahara

Tetesi: Uhakiki ni mbinu kuchelewesha Nyongeza Mishahara

Wenyewe wanasema nyie watumishi wa umma mko laki sita tu, hivyo hamna negative impact katika ustawi wa CCM na serikali yake. Nendeni mkafie mbele huko. Hapa Kazi Tu.
 
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti
za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini
Mexico

Mmh mexico, sasa mbona umeileta kipindi hiki, mexico nako wanahakiki ??!!!!!!!!!!!
 
Wenyewe wanasema nyie watumishi wa umma mko laki sita tu, hivyo hamna negative impact katika ustawi wa CCM na serikali yake. Nendeni mkafie mbele huko. Hapa Kazi Tu.

Mmh wee una mambo kweli laki sita jumlisha familia zao plus marafiki je?
 
JPM ananyanyasa Wanyonge, sijui kwa nini...Yaani anajeuri na anajua anakopata Kura? Tume huru ni ukombozi jamani

FAO LA KUJITOA PPF na NSSF Serikali inataka kupokonya wafanyakazi haki yao

TUCTA ni li kitu mfu.....

Viongozi wa TUCTA wapo kushibisha matumbo yao

Nashauri iundwe TUCTA kivuli ili iwe inafanya kazi kuwapa changamoto TUCTACCM
 
Ndo maana maticha wanabonda tu watoto,na mwakani watawajua maticha ni kina nani.
 
NAHISI KUNA KAHARUFU KA KULIPIZA KISASI KWA HUYO MMEKSCO,MAANA NASIKIA HIZO KADA HUKO NCHINI MEKSCO NDO ZILIKUWA ZINAONGOZA KWA KUIKOSOA SERIKALI YA WAPINZANI ILIPO KUWA MADARAKANI
 
Mshahara unaongezwa kutokana na hali halisi ya kipato cha serika,
Sasa hivi lazima mlilie kuongezewa mishahara,line zote zimekufa!
Waambie vijana nafasi za ajira ni ndogo sana,waingie tu katika kujiajiri wasisubiri ajira ya serikale
kwa hiyo mmekataa kuwapa wana wa nchi kazi siyo kaburi inawasubiri naona mna jeuri sana awmu hii
 
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini Mexico
Teh teh teh! Naona milioni 7 unazikwepa kidizaini!
Kuisoma namba ni lazima!
 
Back
Top Bottom