Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini Mexico
Una IQ ya juu sana.Ni mtanzania kweli?Nikiwa rais utakuwa msaidizi wangu mkuu.Na wewe usinisahau.Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia sauti za matumaini, wamekata tamaa.
Kila MTU anaibuka na mauhakikisha yake, kudanganya tu watumishi.
Hii in tetesi huko nchini Mexico
CCM.NI MZOGAIfike wakati sasa watumishi nao wapatiwe stahiki zao!
huu ni uonevu, kila wiki watu wana hakikikiwa, hakuna saa ya kulipana.
mwezi huu sasa uwe wa mwisho, vinginevyo na sisi tuihakiki serikali kama ina hakiki kweli!
watumishi wanahitaji nyongeza za mishahara!
vijana waliomaliza shule wanahitaji ajira mpya!
wapo watumishi wanasubiri kupanda vyeo!
haya yote yalisimama sababu ya uhakiki, kama wengi mtakumbuka, zoezi hili lilianza November, hadi sasa tunafikia 1/5 ya umri wa serikali husika!
enough is enough, hatusemi zoezi lisimame, linaweza kuendelea kwa miaka yote ya uhai wa Tanzania, lakini zoezi hili lisizuie tena mambo mengine ya ajira kusimama!
kama kuna sababu nyingine za kushindwa kuyatimiza hayo yaliyotajwa hapo juu tuambiwe, lakini hewa tena isiwe sababu!
Mshahara unaongezwa kutokana na hali halisi ya kipato cha serika,Ifike wakati sasa watumishi nao wapatiwe stahiki zao!