Tetesi: Uhakiki ni mbinu kuchelewesha Nyongeza Mishahara

Wasinge ahidi nyongeza kusingekuwa na shida.Mkuu alisema hatawaangusha,matokeo yake uhakiki usio na mwisho!
Tutarajie ufanisi wa hali ya chini,kwenye utekelezaji wa majuku ya watumishi
 
Huo ni usani tu wala hakuna ukweli wowote wewe fikilia tangu mwezi wa 7 mpaka leo ni kiasi gani watumishi wamepoteza?
 
Tunahitaji katiba mpya hatutaki raisi anaejifanya mungu tungekuwa na mifumo mizuri tu tusingefika huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…