Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Kaka yangu lizabon sina uhakika kama kabila Fulani wakiwa wengi basi wamefoji no

kwa hiyo application ilikuwa wao ni asilimia 99 na makabila mengine ni asilimia 1 tu?? sasa inawezekana vipi kila kazi apate mchaga hapo TRA wengine walikuwa hawaombi??? au vyeti halisi wanavyuo wao tu
 
Hiyo ndiyo akili ya Lizaboni. Cheki post zake utamjua alivyo. Ana wivu wa kitoto na kwa bahati mbaya sana anaamini anajua kila kitu. Poor him/ her.

wanaowalalmikia wachaga ni wengi humu sio Mkuu lizaboni pekeyake
 
Lakin pia tanzania mpya haiji kwa kusaka vyeti feki ingawa nalo lina mchango kidogo
 
Vyeti watu wengine wapo muhimbili na tra wapo jina moja.mwingine bruweries na kaka mtu tra jina hilohilo.wacha watumbuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…