Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi

Afadhali umeongea wewe mimi ningeandika kama wewe basi @Moderator4 angenishugulikia ipasavyo
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi

Wenzako wapo shule wanapiga kitabu huku wewe ukishinda JF kuwatetea fisiem, utabakia hapohapo..
 
sasa hivi anasema wengi ni wachaga, sasa sijui hao wenye vyeti feki wakifurumushwa na kubaki wachaga tupu atasema nini!!
Ukitaka kujua wachaga ni akina nani basi nenda kwenye vyuo na angalie kozi zote zilizo 'private' (wanazojilipia wenyewe) utakuta karibia 60% ni wao. Ni bora kuwaponda kwa mengine lakini naamini wachaga wenhye vyeti feki ni wachache sana au hawapo!
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi

Thibitisha hiki ulichokiandika hapa mkuu maana jamii forum ni home of great thinker sidhani kama utakua umeandika bila kua na data kamili, la sihivyo kutakua na walakini kati yako wewe na watu wa hilo kabila
 
dah kazi ipo kama nawaona vile watoto wa maskini tunavyokimbilia hii fursa
Ukiwa mtoto wa maskini it makes you happy? Haya
Not anymore..wahaya ndio walikuwa wanaongoza. Una ushahidi? Cz sidhani kwa trend ya sasa kuna kabila linaweza claim limesoma kuliko lingine.
 
kuna mtu naSema anataka watu waishi kama mashetani then aombewe kwelikweli ,
hajaribiwi huyu jamaa?
 
Mkuu inasemekana wachagga walikuwa wanatamba TRA utadhani wana hati miliki.

Nachukia sana ukabila kwenye ajira. Na hili Kabila limekuwa likilalamikiwa sana.

Huwa najaribu kuwaza hali itakuwaje siku Tanzania ikipata Rais mchagga au mhaya!!

-Kaveli-
Ukikumbuka pia miaka ya nyuma mashirika kama ya Tanesco,Bima na benki ya NBC yalikuwa yana atamiwa na watu wa mkoa mmoja wa Nyanda za Juu kulikuwa na ulemavu fulani kuwa Kichwa cha treni kikitoka eneo fulana kinavuta mabehewa toka eneo lile lile.
 
Kujinasibu mtoto wa masikini eti utapewa ajira kwa kuwa ni mtoto wa masikini haingii akilini,kwani hata mtoto wa masikini anaweza kufanya ghiliba kupata ajira.Utoaji wa ajira hauangalii mtoto wa masikini wala wa tajiri,ni sifa tu.
Nikweli kabisa mkuu hapa watu wanajipa matumaini kwa kujidanganganya tu
 
Nani kasema wachagga waangushe? utaangushwa tu kama una vyeti vya kuchongea Kamata k/koo.

Hahaha, naona unapanic sana na hii inshu ya vyeti feki hapo TRA. Jiandae tu kisaikolojia Mkuu.

-Kaveli-
Kwenye issue ya vyeti feki mimi naunga mkono wote walio pata kazi kwa vyeti vya kichina watemeshwe kazi na ikibidi washitakiwe
 
Mtoa mada Acha unafiki, hata ungekuwa wewe ni mzazi lazima uhakikishe mwanao anakaa sehem nzuri
 
Vyeti havinihusu! I am a retired officer, nasikitika wewe kushangilia kuanguka kwa wenzako. Mtu inabidi usikitike! Kama wewe si shetani, inabidi usikitike. Hata mtu akihukumiwa kunyongwa, huwa hatushangilii, tunasikitika lakini tunasema sheria inasema hivyo. Wewe unashangilia!
Mkuu hao walio foji vyeti washitakiwe na kulipishwa mishahara yote waliyokwisha pokea kwa kutumia hivyo vyeti maana ni uhujumu uchumi
 
ndo mjichimbie sasa kwenye kusoma jinsi ya kujibu maswali ya interview na kujenga confidence,,mnafikiri mtaitwa kama mnaenda kupokea sekrament,,,google sio kuangalia mambo ya udaku,,,kuna mazuri na majibu na mswali yote na jinsi ya kujibu interview yamejazana huko,,,,,,msisahau pia short list ya hesabu na English kupiga panga waombaji,,,kama umefanya interview za LAPF na PPF utanielewa,,,,espirato santus
Kwetu sisi makada hatuna shida hiyo maana kupata ajira ni haki yetu
 
Na iwe hivyo Mkuu. Binafsi naunga mkono sana hizo juhudi za serikali kurejesha nidhamu & real professionalism kwenye utumishi wa umma.

Ni hatari sana Taifa likiwa na incompetent work-force ilojaa villaza, vyeti feki, na magumashi. Ni msiba!

"Lazy Affair Life" is no more!

-Kaveli-
Hao hawatakiwi kuombewa jema ni sawa na wahujumu uchumi
 
Back
Top Bottom