Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Asante Rais Magufuli. Jitihada zako zinaenda kuzaa matunda kwa watoto masikini..

Baada ya lile sakata la NSSF kupiga chini zaidi ya wafanyakazi 200+ waliofoji vyeti, wiki hii TRA inatarajia kupiga chini watumishi wake zaidi ya 400 (437). Hawa ni walioingia bila sifa, waliofoji vyeti, walioingizwa na ndugu zao ambao waliokuwa vigogo...

Pamoja na hatua hiyo nzuri ila tunaomba serikali kuu isimamie hili zoezi kwa TRA, kwani kuna rushwa, na harufu ya kubebana ili kubakiza baadhi ya watumishi ambao hawana sifa...

Naomba nikuambie wazi kamishna Mkuu wa TRA, Ndugu Kidata ofisi ya HR inadhamiria kukudanganya katika hili zoezi. Wameamua kwa makusudi kulichukulia hili zoezi kimazoea. Hawajui hizi ni zama za Magufuli... Tafadhali Kamishna chukua hatua haraka sana.... Utadanganywa katika namba halisi...

My take: Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Magufuli
kwa dar au tz nzima?
 
Bodi ya mikopo inalalamika hakuna urejeshwaji wa mikopo baada ya wanafunzi kumaliza vyuo! Wahitimu wanalalamika hakuna kazi kila pahala pamejaa! Kumbe kazi hakuna kwakuwa ndugu kamweka ndugu asiye na sifa kazini na ambae hajasoma chuoni hivyo wakati muda unaenda marejesho ya mkopo hayaonekani kwakuwa wahitimu wanahimizwa kuwa wajasiriamali! Ndo mana usishangae mtu ana digrii ya sheria anauza bidhaa za forever living au mapazia instagram[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jipu limepasuka
 
Kweli wachagga walipafanya TRA kama nyumbani kwao..mtoto wa shangazi.mjomba..baba mkubwa wote wapo...wachaga wabinafsi sana Harry Kitilya aliiharibu sana TRA kwa ukabila...sasa hivi anavuna alichokipanda

Sipendi ukabila, ila comment yako ina namna ya ukweli...hata CRDB ni hivyo hivyo, ila serikali haiwezi kuchukua hatua kwa kuwa CRDB haimilikiwi na serikali, serikali haina hisa pale CRDB isipokuwa labda kupitia DANIDA...lakini kwa hakika kwa patronage na clientelistic tendencies CRDB inatisha mno...
 
Mkuu inasemekana wachagga walikuwa wanatamba TRA utadhani wana hati miliki.

Nachukia sana ukabila kwenye ajira. Na hili Kabila limekuwa likilalamikiwa sana.

Huwa najaribu kuwaza hali itakuwaje siku Tanzania ikipata Rais mchagga au mhaya!!

-Kaveli-
Wachaga wakipata uraisi tutaibiwa hadi nywele zetu, ndo maana uchaguzi wa 2015 walimsafisha mwizi wao! Asante watanzania kwa kukataa hilo jizi
 
Bodi ya mikopo inalalamika hakuna urejeshwaji wa mikopo baada ya wanafunzi kumaliza vyuo! Wahitimu wanalalamika hakuna kazi kila pahala pamejaa! Kumbe kazi hakuna kwakuwa ndugu kamweka ndugu asiye na sifa kazini na ambae hajasoma chuoni hivyo wakati muda unaenda marejesho ya mkopo hayaonekani kwakuwa wahitimu wanahimizwa kuwa wajasiriamali! Ndo mana usishangae mtu ana digrii ya sheria anauza bidhaa za forever living au mapazia instagram[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jipu limepasuka


dada Munira umenichekesha sana. Na huo ndo ukweli. Wahitimu wa vyuo wanashindwa kurejesha mikopo HESLB coz hawana ajira. Ajira zimejazwa na villaza waliopenya kwa 'connection' za ndugu/jamaa zao.

Unakuta graduate yupo kitaa for 3 years bila ajira. Mwishoe wanaanza kuuza makopo ya forever-living na mapazia/mashuka instagram wapate hela ya dona.

Alafu kuna mijitu mijinga humu eti inatetea na kusikitika watu kutumbuliwa kwa vyeti feki.

-Kaveli-
 
siasa katika ubora wake.... watu 400 TRA!!!? sio halmashauri ya wilaya hiyo
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Vyeti feki wachaga watajaa na vyeti halisi wachaga watajaa pia. Kuhusu elimu dunia huna njia ya kumkwepa mchaga hapa Tanzania labda kwa chuki upige marufuku usiwaone kwenye ajira yako.
 
Sina hakika kama zoezi limeshakamilika.Labda jamaa analeta makisio,tusubiri taarifa rasmi.
 
Black and Bold: Asante sana mkuu. wengine, wako busy kuangalia leo Mkuu wa nchi atatoa maelekezo gani, wala hawataki kushughulikia maagizo ambayo tayari Mkuu wa nchi ameishayaotoa. Tumsaidie rais ili tuipate Tanzania tunayoitaka inayojitegemea kiuchumi na kijamii.
Yaani wewe umsaidie rais wa nchi?
 
Kusikitikia 'wasanii' na wakwapua stahili za wenzao?!! I am not such kind of person. Mimi ni muumini mkubwa wa social justice.

Mwenyezi Mungu mwenyewe hawaonei huruma watenda maovu, ndo maana maandiko yanasema kuwa watenda maovu wote... moto wa jehanamu unawasubiri. Sembuse wewe eti kuwaonea huruma wafojaji vyeti na watumia rushwa kushika nyazifa wasizostahili?!!! Wewe wa ajabu sana.

Mkuu retired officer, wewe kama una ndugu zako hapo TRA uliwaingiza kimagumashi na sasa wanatumbuliwa, basi wasikitikie pekeako na ukoo wako, NOT me.

Sishangilii wao kupata majanga. Bali nashangilia kuona compliance ya standards & best practice on recruitment process, as well as compliance with regulations & laws on employment industry.

You can dodge responsibility, but you CAN'T dodge the consequences!

-Kaveli-
Mkuu naona umetema nyongo kweli mkuu
 
Back
Top Bottom