Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ni wakati gani huo mkuu?mi msukuma na Niko TRA mbona sjaona hyo kitu zaidi ya kuajiri kwa sofa ya MTU tens wenye passmark za juu
Passmark za juu,na hao 437 wana passmark za juu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati gani huo mkuu?mi msukuma na Niko TRA mbona sjaona hyo kitu zaidi ya kuajiri kwa sofa ya MTU tens wenye passmark za juu
issue wanazo sifa au? Husije fikiria ajira kuwa wazi utapatiwa kama huna vigezo. Kinachoangaliwa ni sifa, kama hayo makabila yalithamini elimu mapema tegemea wawe na elimu Zaidi ya wale waliothaminisha unyago na jandoMkuu inasemekana wachagga walikuwa wanatamba TRA utadhani wana hati miliki.
Nachukia sana ukabila kwenye ajira. Na hili Kabila limekuwa likilalamikiwa sana.
Huwa najaribu kuwaza hali itakuwaje siku Tanzania ikipata Rais mchagga au mhaya!!
-Kaveli-
Ndo tutajua wachaga ni wangapi na walosalia ni kabila ganiPassmark za juu,na hao 437 wana passmark za juu?
Utashangaa walichomolewa wenye vyeti halali wakawekwa vilaza.Kaka yangu lizabon sina uhakika kama kabila Fulani wakiwa wengi basi wamefoji no
Weka sourceAsante Rais Magufuli. Jitihada zako zinaenda kuzaa matunda kwa watoto masikini..
Baada ya lile sakata la NSSF kupiga chini zaidi ya wafanyakazi 200+ waliofoji vyeti, wiki hii TRA inatarajia kupiga chini watumishi wake zaidi ya 400 (437). Hawa ni walioingia bila sifa, waliofoji vyeti, walioingizwa na ndugu zao ambao waliokuwa vigogo...
Pamoja na hatua hiyo nzuri ila tunaomba serikali kuu isimamie hili zoezi kwa TRA, kwani kuna rushwa, na harufu ya kubebana ili kubakiza baadhi ya watumishi ambao hawana sifa...
Naomba nikuambie wazi kamishna Mkuu wa TRA, Ndugu Kidata ofisi ya HR inadhamiria kukudanganya katika hili zoezi. Wameamua kwa makusudi kulichukulia hili zoezi kimazoea. Hawajui hizi ni zama za Magufuli... Tafadhali Kamishna chukua hatua haraka sana.... Utadanganywa katika namba halisi...
My take: Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Magufuli
Nonsense, wivu tu utakufa na shida zako. Kuondolewa kwa hao hakutaleta mkate kwako, utabaki na umasikini wako. Hakuna cha kushangilia hapo. Kama siyo shetani hupashwi kufurahi bali kusikitika kuwa hakuna jinsi lazima iwe hivyo.Asante Rais Magufuli. Jitihada zako zinaenda kuzaa matunda kwa watoto masikini..
Baada ya lile sakata la NSSF kupiga chini zaidi ya wafanyakazi 200+ waliofoji vyeti, wiki hii TRA inatarajia kupiga chini watumishi wake zaidi ya 400 (437). Hawa ni walioingia bila sifa, waliofoji vyeti, walioingizwa na ndugu zao ambao waliokuwa vigogo...
Pamoja na hatua hiyo nzuri ila tunaomba serikali kuu isimamie hili zoezi kwa TRA, kwani kuna rushwa, na harufu ya kubebana ili kubakiza baadhi ya watumishi ambao hawana sifa...
Naomba nikuambie wazi kamishna Mkuu wa TRA, Ndugu Kidata ofisi ya HR inadhamiria kukudanganya katika hili zoezi. Wameamua kwa makusudi kulichukulia hili zoezi kimazoea. Hawajui hizi ni zama za Magufuli... Tafadhali Kamishna chukua hatua haraka sana.... Utadanganywa katika namba halisi...
My take: Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Magufuli
Wala hutapata ajira, maana shule ya kata hutafaulu hata! Wachaga watabaki kuwa juu yako tu, shule zao zinafanya vizuri sanaGood move!!
Afadhari sasa na sie watoto wa wakulima tupate ajira, maana tumekaa sana kijiweni kisa tu hatuna 'connection' hapa mujini.
Bongo nyoso..
-Kaveli-
Hao jamaa waliwahi pata elimu kitambo ww acha wivuKuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Sawa, lakini nakwambia kuanguka wa Wachaga hakutaleta neema kwako, utakufa masikini kama ni masikini!
Vyeti havinihusu! I am a retired officer, nasikitika wewe kushangilia kuanguka kwa wenzako. Mtu inabidi usikitike! Kama wewe si shetani, inabidi usikitike. Hata mtu akihukumiwa kunyongwa, huwa hatushangilii, tunasikitika lakini tunasema sheria inasema hivyo. Wewe unashangilia!Nani kasema wachagga waangushe? utaangushwa tu kama una vyeti vya kuchongea Kamata k/koo.
Hahaha, naona unapanic sana na hii inshu ya vyeti feki hapo TRA. Jiandae tu kisaikolojia Mkuu.
-Kaveli-
Endelea kupiga mbiu na wachaga wakati wenzenu wanapiga mzigo kwa sifa zao,ukabila mbaya sana kwenye hii duniaNdo tutajua wachaga ni wangapi na walosalia ni kabila gani
Ukiona mtu anatoa mawazo yake kwa kuegemea imani,mila au desturi Fulani ni wa kumpuuza,yeye mwache aendelee kupiga kelele wakati wenzake wamesoma,wamejiendeleza na hata wakiachishwa kazi wameshajipatia mtaji wa kujiendeleza,kazi kwake hana sifa,elimu ya kuunga unga,experience ziro na bado anazidi kulaumu wenzie waliojipanga kwa uwezo wao was kielim,kuwa mtoto was maskini sio kigezo cha kupata ajira jamaniSawa, lakini nakwambia kuanguka wa Wachaga hakutaleta neema kwako, utakufa masikini kama ni masikini!