Jesca amanda
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 113
- 226
Bora jamani, Magufuli wew ni mtetezi wa wanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajidanganya sanadah kazi ipo kama nawaona vile watoto wa maskini tunavyokimbilia hii fursa
Pia robo tatu ya wafanyakazi bot walikuwa Wahaya. Sijui wote wana vyeti halisi.?Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Wewe hata kama hizo ajira watazitoa kwa uhalali kwa form four div 3 wewe hautaipata maana ni ffKuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Bora ungetaja majina ya wahusika bila kusema generally kwamba wamejaa wachaga Ujue pia kuna wachaga wengi ambao awapo huko TRA nahisi ajira nyingi za TRA zilikuwa zakujuana.Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Fuatilia cheti shule ulosoma, utapewa!Ila ni uonevu unadaiwa cheti cha kumaliza shule ya msingi? wakati wengi tuliosoma miaka ya tisini vyeti hatukupewa.
SHULE NILIYOSOMA ILIBEBWA NA MAFURIKO MWAKA 2002 NA MIMI NIMEMALIZA MWAKA 1996.Fuatilia cheti shule ulosoma, utapewa!
Hahahaha..eti mtu anajinasibu mtoto wa maskini na yeye apate nafasi. Hahahahahaha kwani watoto wa familia nzuri wao hawana vyetiKujinasibu mtoto wa masikini eti utapewa ajira kwa kuwa ni mtoto wa masikini haingii akilini,kwani hata mtoto wa masikini anaweza kufanya ghiliba kupata ajira.Utoaji wa ajira hauangalii mtoto wa masikini wala wa tajiri,ni sifa tu.
Nenda Halmashauri, kwa afisa Elimu, watakutolea nakala!SHULE NILIYOSOMA ILIBEBWA NA MAFURIKO MWAKA 2002 NA MIMI NIMEMALIZA MWAKA 1996.
umenena mkuu,kula bonge la likeWatanzania tunakariri kila kitu mpaka 'kazi' zinazolipa. Naamini neema iliyokuwepo TRA hapo kabla kwa sasa itakuwa imeshuka kwa zaidi ya 50% na wapigaji watakuwa hawapigi kivile tena.
Chukulia mfano miaka ya 80 ilikuwa kichekesho kwenda kufanya kazi BoT maana 'michongo' yote ilikuwa RTC na NMC lakini kwa sasa ukiangalia hali hiyo jibu lake ni "nyuma geuka...".
Mwanzo wa kila kitu ni mgumu na kwa sababu serikali yenyewe imeamini katika 'kuombaomba' na kushindwa kuwajengea wanachi wake confidence na tumedharau kilimo hasa vijana. Tukija kushituka ni pale tutakapokuta ardhi yote imetwaliwa na wageni na watoto wa matajiri wasio hata na form IV wametuajiri 'wataalamu wa Kitanzania' wenye PhD kwenye mashamba kama vibarua. TRA walineemeka sio kwa mishahara bali loop holes zilizokuwepo!
Black and Bold: Asante sana mkuu. wengine, wako busy kuangalia leo Mkuu wa nchi atatoa maelekezo gani, wala hawataki kushughulikia maagizo ambayo tayari Mkuu wa nchi ameishayaotoa. Tumsaidie rais ili tuipate Tanzania tunayoitaka inayojitegemea kiuchumi na kijamii.Ahsante kwa tahadhari uliyotoa. Hata hivyo Kamishna wa TRA huenda asipitie huku, mwenye namba yake ya simu rushia hapa ili ataarifiwe.
Ni muhimu kumsaidia JPM kwa njia zote.
Vyeti havinihusu! I am a retired officer, nasikitika wewe kushangilia kuanguka kwa wenzako. Mtu inabidi usikitike! Kama wewe si shetani, inabidi usikitike. Hata mtu akihukumiwa kunyongwa, huwa hatushangilii, tunasikitika lakini tunasema sheria inasema hivyo. Wewe unashangilia!
LAANA HAITAKUACHA, KWA HERIKusikitikia 'wasanii' na wakwapua stahili za wenzao?!! I am not such kind of person. Mimi ni muumini mkubwa wa social justice.
Mwenyezi Mungu mwenyewe hawaonei huruma watenda maovu, ndo maana maandiko yanasema kuwa watenda maovu wote... moto wa jehanamu unawasubiri. Sembuse wewe eti kuwaonea huruma wafojaji vyeti na watumia rushwa kushika nyazifa wasizostahili?!!! Wewe wa ajabu sana.
Mkuu retired officer, wewe kama una ndugu zako hapo TRA uliwaingiza kimagumashi na sasa wanatumbuliwa, basi wasikitikie pekeako na ukoo wako, NOT me.
Sishangilii wao kupata majanga. Bali nashangilia kuona compliance ya standards & best practice on recruitment process, as well as compliance with regulations & laws on employment industry.
You can dodge responsibility, but you CAN'T dodge the consequences!
-Kaveli-
LAANA HAITAKUACHA, KWA HERI
Wewe unasema Ofisi ya HR pale TRA inadhamiria kumdanganya inaonekana Ukweli unaujuwa. Naomba uende Ofisini kwa Kamishna ukamweleze Ukweli.