mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Wee jamaa sijui jike,, una chuki binafsi sana,, una wivu,, ni mkabila, ni mdini una mambo ya kikanda, kizee zee,, weee kama si mchawi basi ni mganga wa kienyeji.., unapungufu mkubwa sana kichwani,,,
Acha bla,,bla..kwenye mitandao utakufa maskini,, piga kaz sister sijui braza.. Muda unaotumia masaa 24 kushinda nyuma ya keyboard ungebeba hata jemba utapata zaidi ya buku saba unayolipwa..
Wachaga watu wanaoishia kuwasema kila siku wao hawana utani kwenye kiitwacho maendeleo. Wanaijua elimu nini kwa watoto wao. Wapo radhi kuuza kila kitu ili mtoto asome. Kama zaidi ya asilimia 90 wamesoma vizuri sioni nini cha kushangaa ukiwakuta kila mahali wapo.