Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Mjadala ni rangi ambazo Yanga kila waonapo rangi hizo huzigomea( rejea rangi za Vodacoma na GSM).Bendera ya nchi sio ya simba hio
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala ni rangi ambazo Yanga kila waonapo rangi hizo huzigomea( rejea rangi za Vodacoma na GSM).Bendera ya nchi sio ya simba hio
Kazi yako ni pamoja na kuunga mkono upuuzi kama huu?Ndo maana unaambiwa walipo Utopolo na Simba ipo.
Yanga haishughuliki na wala haiingili masuala ya rangi za bendera za nchiSijazungumzia bendera ya nchi, nimezungumzia utamaduni wa rangi za Yanga. Kwa hiyo anayetaka kuzungumza basi agusie hilo la rangi nyekundu na nyeupe kwenye mkusanyiko wa Yanga
Mjadala ni rangi ambazo Yanga kila waonapo rangi hizo huzigomea( rejea rangi za Vodacoma na GSM).
Vv
Umejibu hoja vizuri sana. Ngoja niwasubiri kwenye logo ya CAF.Hio rangi haipo kwenye jezi za yanga Yanga waligomea rangi kuwekwa kwenye jezi zao na sio kuwepo uwanjani