...Uhali gani ...

Hahahahaha
Mkuu, kwa sasa umezeeka sana, si ndio? Hivi ule ujana wa kipindi hicho bado unauhishi hadi leo? Au ndo hivyo umewaachia vijana!?

Unauzungumziaje utofauti wa kimaisha enzi zile unaanzisha uzi huu na sasa? Au ulianzisha huu uzi ukiwa kachalii ka miaka 9 kwenda kwa Maua Evalist?
 
huyo jamaa mwenye nyimbo kila mtu anamuona mwanga au mchawi baada kushindwa kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…