...Uhali gani ...

...Uhali gani ...

Hahahahaha
Mkuu, kwa sasa umezeeka sana, si ndio? Hivi ule ujana wa kipindi hicho bado unauhishi hadi leo? Au ndo hivyo umewaachia vijana!?

Unauzungumziaje utofauti wa kimaisha enzi zile unaanzisha uzi huu na sasa? Au ulianzisha huu uzi ukiwa kachalii ka miaka 9 kwenda kwa Maua Evalist?
 
Back
Top Bottom