JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 221
- 495
Na mini leo nilikua natafuta lyrics,,, ninekosa aisee 😅,, nimeishia kusoma page zote apa.Hahaha
Nilikuwa nasikiliza Wimborne wa U hali gani. Nikajaribu kutafuta lyrics zake online nikakutana na post hii
Hakika ujumbe umetulia sana
Mkuu Tresor Mandala kama hutojali namba naomba uweke lyrics kwa apa. Old is gold