Tunduma ni mji wa kibiashara na mji mdogo sema unakuwa kwa kasi sana maeneo ukifika mda wa usiku usipende kutembea kwa miguu tumia usafiri kama pikipiki, gari au bajaji ingawa wahalifu wengi ni watoto walio zaliwa hapo hapo
Maenei hatari ni Manguruweni, Danida, Makambini na baadhi ya maeneo jambo la kuzingatia ukirudi home usiku tumia usafiri otherwise it is a good place of hustling kingine jiepushe na uzizi maana ile transit point madareva wa truck wanamwagilia mwagilia mauwa hapo kwa sana.