Hao wote wameshindwa,sasa bora Jeshi liingilie kati,uzuri jeshi halinaga cha rushwa km polisi na migambo.Jeshi la Wananchi sio kazi yake kuzuia vibaka acha kujitoa ufahamu. Kazi za migambo inayoshika rungu na kuvaa tisheti ndio unataka ijengwe kambi ya jeshi. Yani tujenge kambi kisa vibaka wanaopiga roba? Kuwa serious na vipaumbele vya nchi.
Sasa km huna kazi utawezaje kumudu maisha ktk mji huu?,Yaani upange chumba,ulipe bili za umeme,ununue maji,chakula,matibabu,nguo,vocha,uhonge,halafu huna kazi,kweli?!.Kutokuwa na kazi maalum siyo kigezo Cha kuwa mhalifu. Wapo wenye mahela Yao lakini ni wahalifu wakuu, ndiyo wenye makundi hayo.
Kwa hiyo tutumie vigezo vya kuwabaini wahalifu wenyewe. Tusikate vidole kwasababu ya Funza Mkuu.
Aisee ni wengi hatari,ukiwa unakula usipokuwa makini wanakwapua sahani ya chakula wanakimbia nayo.Mbaya Zaidi Tunduma Imeibuka wimbi la Watoto Wa Mtaani.Ni wengi Sana.
Wakikua Hao ndiyo watakuja Kuwa vibaka hatari Sana.
Ni sahihi,hii ni kutokana na mwingiliano mkubwa wa watu.Pole.
Tunduma pamoja na matukio ni mji hatari sana kwa maambukizi ya magonjwa.
Omba ukutane na mtu wa sehemu zingine akupe ngoma ilaPole.
Tunduma pamoja na matukio ni mji hatari sana kwa maambukizi ya magonjwa.
Kuna vijana wale ambayo hawana kazi rasimi, wao ni all weather. Sasa huyu huwezi kusema anafanya kazi Fulani. Au kimtaa tunasema anafanya vibarua.Sasa km huna kazi utawezaje kumudu maisha ktk mji huu?,Yaani upange chumba,ulipe bili za umeme,ununue maji,chakula,matibabu,nguo,vocha,uhonge,halafu huna kazi,kweli?!.
Uliwahi kukutana nayo nini mkuu?Omba ukutane na mtu wa sehemu zingine akupe ngoma ila
Sio ngoma ya mtu wa Tunduma ni HIV 1 ndugu ukijijua wahi mapema kabla hayajajulikana.
Achana na hao sasa,kuna wale wanaamkia kwenye Pool table na kushinda huko hadi jioni,riziki zao wanazitafuta muda gani?Kuna vijana wale ambayo hawana kazi rasimi, wao ni all weather. Sasa huyu huwezi kusema anafanya kazi Fulani. Au kimtaa tunasema anafanya vibarua.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nimewahi shuhudia mkuu sio kwangu ila kwa watu wengine wanaoupata kutoka kwenye mbadilishano wa mabaamedi kutoka Tunduma wanakuja kufanya kazi .Uliwahi kukutana nayo nini mkuu?
Hawa watoto ni Wazambia, kazi yao kubwa ni kuokota chupa empty za maji.Aisee ni wengi hatari,ukiwa unakula usipokuwa makini wanakwapua sahani ya chakula wanakimbia nayo.
Mkuu jukumu la ulinzi na usalama wa raia na mali zao ni kazi ya Police, sio jeshi mkuu. Pengine waunde kanda maalum ya ki Police.Sasa km jeshi la Polisi limezidiwa, kuna ubaya gani wa kuomba jeshi litusaidie?