Uhalifu wa Mauaji wafikia 11.5 Afrika Kusini

Uhalifu wa Mauaji wafikia 11.5 Afrika Kusini

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Polisi nchini humo, Bheki Cele imeonesha kuwa mauaji yaliongezeka kwa 11.5% katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2022/2023 kupitia takwimu za uhalifu.

Cele amesema watu 6,424 wakiwemo Askari 18 waliuawa katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ambayo ni ongezeko la watu 664 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2021 wakati nchi ilipokuwa kwenya Karantini ya janga la COVID-19.

Sababu kuu za mauaji zimetajwa kuwa ni mabishano na kutoelewana, kulipiza kisasi, na mikesha ya sehemu za starehe. Maeneo yaliyoongoza kwa mauaji na uhalifu mwingine ni Umlazi Durban, Pietermaritzburg, KwaZulu-Natal, na Mthatha huko Eastern Cape.
====================

Murder in SA increased by 11.5% during the first quarter of the 2022/2023 financial year, police minister Bheki Cele said on Friday while presenting the quarterly crime statistics.

Cele said 6,424 people were killed in the first quarter, an increase of 664 compared with the same period last year. At that time the country was in lockdown levels one and two.

The main causes of murder were arguments and misunderstandings, retaliations and revenge, and vigilantism.

Cele said the stations that reported the highest murder rates were Umlazi in Durban and Plessislaer in Pietermaritzburg, in KwaZulu-Natal, and Mthatha in the Eastern Cape. There were 221 murders combined.

He said 18 police officers were killed during this period, a drop by 13 from last year.

Source: TimesLive
 
Back
Top Bottom