Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.

Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.

Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?

Kwanini Polisi waliiua watu?
 
Kwanini Polisi waliiua watu?
...
Kwanini waliua innocent civilians kwa kuwabambika jina la waharifu? Weka hivyo

Just For the record: Innocent civilians are individuals who are not involved in combat or military actions and should be protected under international humanitarian law. The principle of distinction in warfare emphasizes that civilians must not be intentionally targeted, although they may be harmed incidentally during military operations.
 
Ukiwasikiliza hao mapolisi na watetezo wao na hata IGP mwenyewe, utaona Tanzania bado kuna ombwe kubwa sana la upumbav na ujinga kuhusiana na masuala mazima ya haki za binadamu.

Sheria za kimataifa hazimruhusu polisi kutumia live bullets kukabiliana na maandamano haijalishi hayo maandamano yameambatana na fujo kiasi gani.

Zipo nchi kibao tu ambazo zimewahi kukumbwa na maandamano ya dizaini hii yaliombatana na uharibifu wa miundombinu, lakini polisi wao hawakutumia risasi za moto kukabiliana na waandamanaji hao.

South afrika ni moja ya nchi ambayo huwa inakumbwa sana na hizi violence protests lakini huwezi kuskia serikali yao inayazima kwa kutumia live bullets.

Kuzima maandamano kwa risasi za moto tena dhidi ya raia wasiokuwa na risasi za moto ni njia ya shortcut ambayo inafanywa na jeshi la polisi lisilokuwa na waledi wowote na pia halithamini kabisa uhai wa watu wake.

Maccm yanajua kabisa yalichokifanya ni kinyume na haki za binadamu, na ndio maana wameyabatiza jina la "uhalifu" hili kujustify mass killing waliofanya.
 
Police wa Bongo kwa level zote ni machoko tu ,unajua kunawakati watu tunapena heshima kwasababu tunaamini sote tunajenga nyumba moja lakini kwa huu ufala waliyojivika nao aisee ninawatamani ile kimbwa ,tarehe 09 nitafanya kila linalowezekana nihakikishe niwe nimerudi Bongo na nishiriki kwenye maandamano na target yangu ni wao tu .

damu za wale madogo lazima zisindikizwe kwa heshima.
 
Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.

Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.

Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?

Kwanini Polisi waliiua watu?
Askari hawaruhusiwi kutumia risasi kwa waandamanaji kwa sababu tu wanaharibu mali, isipokuwa ikiwa:-
1 - Vurugu hizo zinahatarisha maisha ya watu (mfano wanataka kuchoma watu ndani ya jengo),
2 - Na hakuna njia nyingine ya kuzuia hilo.

Ni derby kati ya wanasiasa na wanaharakati.
Wanaharakati wakaingia kwenye mfumo na sasa wanalalamika kuchezewa rafu.
 
Wanawasingizia tu wengine kwa uzembe wao. Wai walikuwa wapi wakati hizo mali zikiharibiwa? Kazi yao ni kulinda raia na mali zao. Ila walivyo wazembe wameshindwa kulinda mali na bado wakaua raia.

Mna hakika wanaijua kazi yao vizuri kweli🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Unaanza wewe kuharibu na kuiba mali za watu alafu unasema uhai wako una thamani kuliko mali za watu? Uhai wako hauna thamani mbele ya mali yangu nitakuua.

Na safari hii nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera
 
Hivi hatuwezi wafungulia kesi kina IGP kule ICC
 
Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.

Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.

Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?

Kwanini Polisi waliiua watu?
Such cowards
 
Unaanza wewe kuharibu na kuiba mali za watu alafu unasema uhai wako una thamani kuliko mali za watu? Uhai wako hauna thamani mbele ya mali yangu nitakuua.

Na safari hii nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera
Kwaiyo walivyoua izo mali zimepona
 
Unaanza wewe kuharibu na kuiba mali za watu alafu unasema uhai wako una thamani kuliko mali za watu?
Walikuibia nini wewe mfir(w)aji? Sio wote waliouawa ni waale waliofanya fujo wengine hayawahusu kabisa na wenyewe wamechomolewa majumbani mwao na kupigwa risasi za kichwa, wengine risasi zimewafikia majumbani mwao wakiwa hawana hili wala lile unataka kusemaje? Unataka kusemaje?
 
Back
Top Bottom