figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
...Kwanini Polisi waliiua watu?
Askari hawaruhusiwi kutumia risasi kwa waandamanaji kwa sababu tu wanaharibu mali, isipokuwa ikiwa:-Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.
Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.
Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?
Kwanini Polisi waliiua watu?
Such cowardsBadala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao.
Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao.
Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji?
Kwanini Polisi waliiua watu?
Kwaiyo walivyoua izo mali zimeponaUnaanza wewe kuharibu na kuiba mali za watu alafu unasema uhai wako una thamani kuliko mali za watu? Uhai wako hauna thamani mbele ya mali yangu nitakuua.
Na safari hii nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera
Walikuibia nini wewe mfir(w)aji? Sio wote waliouawa ni waale waliofanya fujo wengine hayawahusu kabisa na wenyewe wamechomolewa majumbani mwao na kupigwa risasi za kichwa, wengine risasi zimewafikia majumbani mwao wakiwa hawana hili wala lile unataka kusemaje? Unataka kusemaje?Unaanza wewe kuharibu na kuiba mali za watu alafu unasema uhai wako una thamani kuliko mali za watu?
Waliacha jukumu lao la Msingi la kulinda mali na raiaKwaiyo walivyoua izo mali zimepona