Uhalisia uliopo ndani ya CHADEMA usiosemwa machoni pa watu

hp4510,
Chadema wenyewe hawaumii wanaoteseka kuumia ni CCM ndipo maajabu yanapikuja Duniani
 
Sasa why ccm ndio wanapiga kelele? And do you think wanaomchagua Mbowe huko chadema wote wale akili zao za kufikiri haziko sawa?
unatumia makalio kusema ccm ndio wanapiga kelele
 
Sasa why ccm ndio wanapiga kelele? And do you think wanaomchagua Mbowe huko chadema wote wale akili zao za kufikiri haziko sawa?
Kama huo upande Paskali ndio unaoumia, ulishawasikia wafuasi wa CHADEMA wanalialia kama mazuzu ya Lumumba yanavyolia?
Wakuu Job K na Hp,
Kulialia ni jambo moja na kuumia au kuathirika ni jambo jingine. CCM kwa vile ndicho chama utawala, hata kikifanya madudu vipi, huwezi kutegemea kuwasikia wana CCM wakilia lia, lakini CCM ikifanya madudu, wanaoumia ni Watanzania hata hawata lia lia.

Mhe. Mbowe, amefanya mengi, makubwa mazuri kwa Chadema, lakini sasa amefikia optimum ya uwezo wake. Chadema tangu kuasisiwa kimekuwa ni chama cha kiharakati, kama ndege inazunguka tuu kwenye runway ready to take off. Sasa anatakiwa mtu atakaye I transform Chadema from chama cha kiharakati into chama kinachojiandaa kutawala, kushika dola, hivyo sasa anahitajika mtu wa kushika usukani na kuipaisha ndege ya Chadema to take off. Mtu huyu sio Mbowe!.

Watakao athirika ni wafuasi wa Chadema, 2020 baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu, Chadema is going to be reduced to almost nothing!.

P
 
minyoo,
WhatsApp ni WhatsApp, Twitter ni Twitter, Facebook ni Facebook, Instagram ni Instagram na jf ni jf. kila upande mijadala ya huko ni huko huko, it's not right kuleta number ya mtu kutoka WhatsApp groups ambayo ni private groups into a public forums kama humu jf.

Mimi pia niko kwenye WhatsApp groups, Facebook, Twitter, Instagram, LinkedIn, YouTube na humu jf, mijadala ya kule inabaki kule, mijadala ya humu inabaki humu.
P
 
Inawezekana uko sahihi, lakini niambie Leo chama gani kina demokrasia hapa nchini.angalau chadema hata nafasi ya mwenyekiti chadema wanaruhusu uchukue fomu, ccm wala haisogelewi.muulize member.
 
Fine kama hayasemwi wewe kimburu umeyapataje? Mtapiga sarakasi zote ila kampeni za kifedhuli za kudhoofisha upinzani zitawamaliza wenyewe
 

Itategemea na upepo wa kisiasa utakuwaje hiyo 2020, kama itakuwa ni huru na haki basi maajabu yanaweza kutokea
 
Kazai kweli kweli, mambo ni moto ndani ya chama. Huyo habanduli mpaka afe
 
Inawezekana uko sahihi, lakini niambie Leo chama gani kina demokrasia hapa nchini.angalau chadema hata nafasi ya mwenyekiti chadema wanaruhusu uchukue fomu, ccm wala haisogelewi.muulize member.
CCM ukitaka kesi ya uhujumu uchumi Tangaza nia ya kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM, au hata tangaza nia ya kuwania cheo cha mwenyekiti wa CCM Taifa, utaandamwa kila kona kama Benard Membe.
 
CCM waache chadema ipambane na hali yake, Msaji wa vyama ambaye ni mwanachama wa CCM aache kuihujumu kuiandama chadema, kama CCM ni chama kizuri waache wananchi wenyewe watapima pa kwenda siyo CCM kulazimisha kila kitu
 
Humu ndipo mahakama kuu ya wanyonge tutazileta namba zote za wale wanaonyanyasa wapinzani kwenye Group za Whatsapp na mitandao mingine ili wapate kujulikana ulimwenguni kote.
 
Sasa why ccm ndio wanapiga kelele? And do you think wanaomchagua Mbowe huko chadema wote wale akili zao za kufikiri haziko sawa?
Achana nao huko kwao si kuna mwenyekiti pia wakachukue fomu huko na wapigiwe kura
 
Mwingine anayetumia Whatsapp kunyanyasa wapinzani namba yake hii hapa 0688953505 anaitwa Katabazi huyo kajua kule ni vigumu wapinzani kupambana nae kwa uhuru ndipo kaamua kuwanyanyasa awezavyo kisha kujiona ni mshindi kwenye Ulingo usio na FairPlay.
 
Wana uma kwasababu malengo yao hayaendi kama walivyokusudia.
 
Kwani ccm bila ya figisufigisu inauwezo wakushinda uchaguzi huru na haki?
 
Mku muleta uzi alitaka kusema Chama chenye Demokrasia wananchi au wanachama ndo wanachagua viongozi sio uamuzi wa mtu moja kwamba wewe sasa utagombea Makamu mwenyekiti huyo hapana. Ndo kunaitwa kupanga matokeo ya mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…