Wakuu Job K na Hp,
Kulialia ni jambo moja na kuumia au kuathirika ni jambo jingine. CCM kwa vile ndicho chama utawala, hata kikifanya madudu vipi, huwezi kutegemea kuwasikia wana CCM wakilia lia, lakini CCM ikifanya madudu, wanaoumia ni Watanzania hata hawata lia lia.
Mhe. Mbowe, amefanya mengi, makubwa mazuri kwa Chadema, lakini sasa amefikia optimum ya uwezo wake. Chadema tangu kuasisiwa kimekuwa ni chama cha kiharakati, kama ndege inazunguka tuu kwenye runway ready to take off. Sasa anatakiwa mtu atakaye I transform Chadema from chama cha kiharakati into chama kinachojiandaa kutawala, kushika dola, hivyo sasa anahitajika mtu wa kushika usukani na kuipaisha ndege ya Chadema to take off. Mtu huyu sio Mbowe!.
Watakao athirika ni wafuasi wa Chadema, 2020 baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu, Chadema is going to be reduced to almost nothing!.
P