Mku muleta uzi alitaka kusema Chama chenye Demokrasia wananchi au wanachama ndo wanachagua viongozi sio uamuzi wa mtu moja kwamba wewe sasa utagombea Makamu mwenyekiti huyo hapana. Ndo kunaitwa kupanga matokeo ya mchezo.
Ah okay basi endeleen na figisu zenu.Figisu ni part and parcel ya chaguzi zote Tanzania.
P
+2404813771 zain hawa ndiyo wanatumiwa na CCM kuwatukana watu kwenye mitandao ya Whatsapp ambapo ni vigumu kwa mtu ambaye yupo hapo Dar au sehemu ingine ya Tanzania kumjibu kwa hofu ya kukamatwa, CCM wamekomalia chadema utazani kwao CCM hawana shida
Nina binti yangu ambaye alikuwa na ndoto ya kuwa Prof,lakini kwa mwenendo wa maprof. wa TZ,akiwemo bibi yake,kaamua kusomea kuwa na shahada nyingi tofauti tofauti.mhuogomkavu, Hii takataka (umbeya ) kweli imeandikwa na professor ?
Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS.
Hivi majuzi ulianza mchakato wa uchakuzi mkuu ndani ya CHADEMA kuwachagua viongozi wao wakuu wa kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano mbele, mchakato huu umeshuhudiwa ukigubikwa na vitimbi vya kila aina ndani ya chama hicho.
Hivi majuzi nimemsikiliza Prof. Safari aliyekuwa mwenyekiti msaidizi wa chama hicho kwa kipindi cha nyuma akizungumzia masuala kadhaa yaliyohusu mchakato huo wa uchaguzi ndani ya chama hicho.
Kwa ujumla Prof. Safari alizungumzia mambo mengi kama vile kutokuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya chama hicho japo mwenyekiti wa chama hicho na wafuasi wake wanahubiri na kujinasibu kuwa chama chao kina demokrasia hali inayopingana na uhalisia uliopo ndani ya chama hicho.
Aidha aliongeza kuwa yapo mengi yanayosemwa na wadau na wachambuzi mbalimbali wa masuala ya siasa na Demokrasia kukikosoa Chama hicho japo uongozi wa juu “unayafumbia macho” mambo hayo huku yakiwa na ukweli ndani yake.
Mambo mengine ni pamoja na maamuzi yanayohusu chama hicho hufanywa na kikudi cha watu wachache “High levels” (sio kamati kuu) na baadaye kuutangazia umma kuwa ni maamuzi ya kamati kuu ili hali miongoni mwa kamati kuu hawajui what going on.
Ukichukua muda wako kumsikiliza na kumtafakari Prof. Safari utagundua kuwa yapo mengi yaliyo na ukakasi ndani ya chama hicho japo wanachana na viongozi wanaonekana kama “all is well” ndani ya chama hicho.
Swali la kujiuliza ni kuwa kwanini wabunge na viongozi wa chama hicho hawasubutu kunyanyua vinywa vyao kuyasema yanayowakwaza.
Anyway sitaki kuwakumbusha kuhusu CHACHA WANGWE wala visa vya ZITTO KABWE kipindi walipotia nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa katika chama hicho, achilia mbali yaliyomsibu Mzee Sumaye hivi majuzi mpaka kumpelekea kuachana na chama hicho.
Viongozi wengi ndani ya Chama hicho wamemeza ndoano hali inayowasababisha kusema NDIO pale boss wao anaposema ndio na akisema HAPANA basi wooote kwa pamoja wanaitikia HAPANA kwa shangwe na vigelegele wakisaidiwa na vijana wao waliojazana katika mitandao ya kijamii.
Utakuwa unajiuliza hiyo ndoano wameimezaje, ndoano hiyo wengi wao wameimeza kwa “kupewa” nyadhifa fulani fulani ndani ya chama hicho na wengine kupitishwa kwenye majimbo mbalimbali ili wagombee Ubunge (Tonge tamu jamani), ukinyanyua kinywa tu yanakukuta ya Mzee Sumaye na kanda ya Pwani yake.
Ukitaka kuthibitisha hili rejea kauli ya Mbowe hivi majuzi aliposema kuwa anamtaka Lissu awe makamu mwenyekiti wa chama hicho na baadae Lissu kutumiwa fomu ya kuwania umakamu mwenyekiti na kuijaza kisha kuirejesha, hii maana yake nini?
Hii inamanisha hizo process za ujazaji na urejeshaji wa fomu ni ushahidi tu kuwa hatua zimefuatwa ila kiuhalisia tayari boss kashasema na kashaamua Lissu atakuwa Makamu Mwenyekiti wake utake usitake, very interesting.
Mzee Sumaye alionywa sana kuhusu kugombea nafasi ya kiti cha enzi cha Mzee mwenye chama ila alishupaza shingo na kuamua kujitosa kuwania nafasi hiyo asijue kuwa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe (waandaaji wa kitimoto rosti wanaelewa namaanisha nini hapa).
Yaliyomtokea ndio kama mlivyosikia haina haja ya kuyaeleza sana japo bottom of line ni kuwa mzee aliangukia pua katika nafasi ya uenyekiti kanda ya Pwani kwa kupata kura nyingi za HAPANA dhidi ya kura za NDIO, hii ndio inaitwa usijaribu kucheza na kiti cha mfalme.
Wahenga walisema ya ngoswe muachie ngoswe, nami mwandishi wenu namwachia ngoswe aendelee kuongoza Saccoss yake kwa utashi wake.
Ila niwashauri kuwa pale wanapoimba kuhusu Demokrasia wahakikishe wanaanzia kwenye chama chao wawe na uhalali wa kusimama majukwaani na kutokwa na misuli ya shingo kuhubiri kuhusu demokrasia.
Nisiwachoshe kwa leo acha niwatakie majukumu mema tukutane tena kwenye makala nyingine tukijaaliwa uzima.
Inayoumia ni katiba ya chadema inayokanyagwaKaka paskali ww ni mkongwe kwenye siasa za fitna nina swali moja kwako
Do you think kati ya wafuasi wa chadema na wafuasi wa ccm ni upande upi unaumia sana kwa uongozi wa Mbowe?
Kumbe chadema inaiga ya ccm?Ccm INA demokrasia kwenye kiti cha umwenye?
Kupeana viti sio demokrasia Bali n kufunika kombe mwanaharamu atawale KWA kuwa wanajua mw enyekiti akiwa mwingine rais atakosa nguvu y chama.
Nyerere umetuharibu sana mifumo hii ya China kwao imeNza kuleta matatizo, halmashaur zao zinamatatizo
Chama pekee ndio nusura ya xi ji ng ping
Ccm NAyo KWA nn isibadrike kama tunavyotaka?
Ccm katiba hairuhusu kugombea uenyekiti ba ndipo napouliza IPO demokrasia
Cdm angalau sasa wanajaribu kujinasua n KWA kekele zetu watajirekebisha
Je vipi kuhusu ccm? Kuna dalili za kubadili mfumo huo?
Mbowe anatumia mbinu za kisiasa kubakia kitini na hatumii demokrasia, inawezekana yeye hausiki lkn wala tonge ndio wapishi w madhila haya.
Kimsing KWA suala LA lisu alipotoka sana kutuambia lkn pia KWA kulifanya kwani inadhihirisha cdm hakuna uchaguzi ila kunaugawanaji wa vyeo
Chonde chonde tunapotafakarj ya cdm tutafakari na ya ccm
Hapo ndo kila mtu atatakiwa kunywa maji hata kama huna kiuuuuuu!Mbowe hagusiki akiwa hana dola! Vipi mkimpa dola [emoji41]
Mbowe hagusiki akiwa hana dola! Vipi mkimpa dola [emoji41]
odhesha maharibifu matatu tu!Ww ni mkabila kaa mbali nasi,mchumia tumbo! Nchi inaharibika ww unakaa kisifia. Toka umeitwa njaa pale Ikulu akili uliweka mfukoni.
Kaka paskali ww ni mkongwe kwenye siasa za fitna nina swali moja kwako
Do you think kati ya wafuasi wa chadema na wafuasi wa ccm ni upande upi unaumia sana kwa uongozi wa Mbowe?
Mi pia nashangaa kama wewe hivi hawa Nyumbu wa Lumumba hawaoni kuwa kwenye chama chao hakuna kugombea nafasi ya mwenyekiti?Ila ya Ufipa yanawauma mi nahisi wanaumwa haja kubwa hawa fisi wa Lumumba wasaidiwe haraka kabla hawajachafua hali ya hewa
Hivi nakala hii imeandikwa na profesa kweli au...????Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS.
Hivi majuzi ulianza mchakato wa uchakuzi mkuu ndani ya CHADEMA kuwachagua viongozi wao wakuu wa kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano mbele, mchakato huu umeshuhudiwa ukigubikwa na vitimbi vya kila aina ndani ya chama hicho.
Hivi majuzi nimemsikiliza Prof. Safari aliyekuwa mwenyekiti msaidizi wa chama hicho kwa kipindi cha nyuma akizungumzia masuala kadhaa yaliyohusu mchakato huo wa uchaguzi ndani ya chama hicho.
Kwa ujumla Prof. Safari alizungumzia mambo mengi kama vile kutokuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya chama hicho japo mwenyekiti wa chama hicho na wafuasi wake wanahubiri na kujinasibu kuwa chama chao kina demokrasia hali inayopingana na uhalisia uliopo ndani ya chama hicho.
Aidha aliongeza kuwa yapo mengi yanayosemwa na wadau na wachambuzi mbalimbali wa masuala ya siasa na Demokrasia kukikosoa Chama hicho japo uongozi wa juu “unayafumbia macho” mambo hayo huku yakiwa na ukweli ndani yake.
Mambo mengine ni pamoja na maamuzi yanayohusu chama hicho hufanywa na kikudi cha watu wachache “High levels” (sio kamati kuu) na baadaye kuutangazia umma kuwa ni maamuzi ya kamati kuu ili hali miongoni mwa kamati kuu hawajui what going on.
Ukichukua muda wako kumsikiliza na kumtafakari Prof. Safari utagundua kuwa yapo mengi yaliyo na ukakasi ndani ya chama hicho japo wanachana na viongozi wanaonekana kama “all is well” ndani ya chama hicho.
Swali la kujiuliza ni kuwa kwanini wabunge na viongozi wa chama hicho hawasubutu kunyanyua vinywa vyao kuyasema yanayowakwaza.
Anyway sitaki kuwakumbusha kuhusu CHACHA WANGWE wala visa vya ZITTO KABWE kipindi walipotia nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa katika chama hicho, achilia mbali yaliyomsibu Mzee Sumaye hivi majuzi mpaka kumpelekea kuachana na chama hicho.
Viongozi wengi ndani ya Chama hicho wamemeza ndoano hali inayowasababisha kusema NDIO pale boss wao anaposema ndio na akisema HAPANA basi wooote kwa pamoja wanaitikia HAPANA kwa shangwe na vigelegele wakisaidiwa na vijana wao waliojazana katika mitandao ya kijamii.
Utakuwa unajiuliza hiyo ndoano wameimezaje, ndoano hiyo wengi wao wameimeza kwa “kupewa” nyadhifa fulani fulani ndani ya chama hicho na wengine kupitishwa kwenye majimbo mbalimbali ili wagombee Ubunge (Tonge tamu jamani), ukinyanyua kinywa tu yanakukuta ya Mzee Sumaye na kanda ya Pwani yake.
Ukitaka kuthibitisha hili rejea kauli ya Mbowe hivi majuzi aliposema kuwa anamtaka Lissu awe makamu mwenyekiti wa chama hicho na baadae Lissu kutumiwa fomu ya kuwania umakamu mwenyekiti na kuijaza kisha kuirejesha, hii maana yake nini?
Hii inamanisha hizo process za ujazaji na urejeshaji wa fomu ni ushahidi tu kuwa hatua zimefuatwa ila kiuhalisia tayari boss kashasema na kashaamua Lissu atakuwa Makamu Mwenyekiti wake utake usitake, very interesting.
Mzee Sumaye alionywa sana kuhusu kugombea nafasi ya kiti cha enzi cha Mzee mwenye chama ila alishupaza shingo na kuamua kujitosa kuwania nafasi hiyo asijue kuwa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe (waandaaji wa kitimoto rosti wanaelewa namaanisha nini hapa).
Yaliyomtokea ndio kama mlivyosikia haina haja ya kuyaeleza sana japo bottom of line ni kuwa mzee aliangukia pua katika nafasi ya uenyekiti kanda ya Pwani kwa kupata kura nyingi za HAPANA dhidi ya kura za NDIO, hii ndio inaitwa usijaribu kucheza na kiti cha mfalme.
Wahenga walisema ya ngoswe muachie ngoswe, nami mwandishi wenu namwachia ngoswe aendelee kuongoza Saccoss yake kwa utashi wake.
Ila niwashauri kuwa pale wanapoimba kuhusu Demokrasia wahakikishe wanaanzia kwenye chama chao wawe na uhalali wa kusimama majukwaani na kutokwa na misuli ya shingo kuhubiri kuhusu demokrasia.
Nisiwachoshe kwa leo acha niwatakie majukumu mema tukutane tena kwenye makala nyingine tukijaaliwa uzima.
Paskali, wewe ni mchambuzi nguli wa siasa za Tanzania. Kama Mbowe kafikia mwisho wa uwezo wake kuongoza Chadema, wewe unaamini kabisa Sumaye ndiye angefaa kuwa mwenyekiti wa Chadema? Au unaamini kuwa Mwambe ndiye anafaa kuwa mwenyekiti wa Chadema? Yaani huo ni ukweli wa nafsi yako?Wakuu Job K na Hp,
Kulialia ni jambo moja na kuumia au kuathirika ni jambo jingine. CCM kwa vile ndicho chama utawala, hata kikifanya madudu vipi, huwezi kutegemea kuwasikia wana CCM wakilia lia, lakini CCM ikifanya madudu, wanaoumia ni Watanzania hata hawata lia lia.
Mhe. Mbowe, amefanya mengi, makubwa mazuri kwa Chadema, lakini sasa amefikia optimum ya uwezo wake. Chadema tangu kuasisiwa kimekuwa ni chama cha kiharakati, kama ndege inazunguka tuu kwenye runway ready to take off. Sasa anatakiwa mtu atakaye I transform Chadema from chama cha kiharakati into chama kinachojiandaa kutawala, kushika dola, hivyo sasa anahitajika mtu wa kushika usukani na kuipaisha ndege ya Chadema to take off. Mtu huyu sio Mbowe!.
Watakao athirika ni wafuasi wa Chadema, 2020 baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu, Chadema is going to be reduced to almost nothing!.
P
Nisamehe nibebe na kujibu swali lako. KIONGOZI YOYOTE WA NCHI, ATOKEE CHAMA CHOCHOTE AFANYAPO KOSA, WAUMIAO NI WANANCHI WOTE.
They all represent Tanzania
Unapigania Uhuru gani hapa punguanii wewe..mnadanganywa na nyinyi mnaingia mazima...jamaa aliwaambia anachenjia gia angani akamleta Lowasa mkakubali..huku yeye anaweka sadaka yake aliyopewa kinondoni then baadae kuirushia nje ya nchi..hahahahha...wajinga ndio waliwao..unadhani viongozi wooote wenu walioondoka hawani akili..mpaka Prof Safari mfia chama katimua,,,...Daaaaa hapo sio salama bwegee wewwwwMBOWE MWENYEKITI MPAKA MKOLONI MWEUSI CCM AKIMBIE NCHI.tunatumia mbinu za wapigania uhuru wote nyerere mugabe samora mandela