Anyway sitaki kuwakumbusha kuhusu CHACHA WANGWE wala visa vya ZITTO KABWE kipindi walipotia nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa katika chama hicho, achilia mbali yaliyomsibu Mzee Sumaye hivi majuzi mpaka kumpelekea kuachana na chama hicho.
Maprofesa wa Tanzania ni tofauti na maprofesa wa Nchi zingineNina binti yangu ambaye alikuwa na ndoto ya kuwa Prof,lakini kwa mwenendo wa maprof. wa TZ,akiwemo bibi yake,kaamua kusomea kuwa na shahada nyingi tofauti tofauti.
Profesa wa kibongo ni "empty".
Unapigania Uhuru gani hapa punguanii wewe..mnadanganywa na nyinyi mnaingia mazima...jamaa aliwaambia anachenjia gia angani akamleta Lowasa mkakubali..huku yeye anaweka sadaka yake aliyopewa kinondoni then baadae kuirushia nje ya nchi..hahahahha...wajinga ndio waliwao..unadhani viongozi wooote wenu walioondoka hawani akili..mpaka Prof Safari mfia chama katimua,,,...Daaaaa hapo sio salama bwegee wewwww
Hebu mtaje mmoja kaka kwa heshima na taadhima,yeyote Yule unayomwona anafaa ili tumchukulie fomuWakuu Job K na Hp,
Kulialia ni jambo moja na kuumia au kuathirika ni jambo jingine. CCM kwa vile ndicho chama utawala, hata kikifanya madudu vipi, huwezi kutegemea kuwasikia wana CCM wakilia lia, lakini CCM ikifanya madudu, wanaoumia ni Watanzania hata hawata lia lia.
Mhe. Mbowe, amefanya mengi, makubwa mazuri kwa Chadema, lakini sasa amefikia optimum ya uwezo wake. Chadema tangu kuasisiwa kimekuwa ni chama cha kiharakati, kama ndege inazunguka tuu kwenye runway ready to take off. Sasa anatakiwa mtu atakaye I transform Chadema from chama cha kiharakati into chama kinachojiandaa kutawala, kushika dola, hivyo sasa anahitajika mtu wa kushika usukani na kuipaisha ndege ya Chadema to take off. Mtu huyu sio Mbowe!.
Watakao athirika ni wafuasi wa Chadema, 2020 baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu, Chadema is going to be reduced to almost nothing!.
P
I don't believe kwenye hii ya kuchukuliana fomu. Uongozi ni wito individually.Hebu mtaje mmoja kaka kwa heshima na taadhima,yeyote Yule unayomwona anafaa ili tumchukulie fomu
AiseeeeView attachment 1283053
Maprofessa wetu.
Prof wa ukweli ni Mussa Assad kiboko ya wezi.Aiseeee
I don't believe kwenye hii ya kuchukuliana fomu. Uongozi ni wito individually.
Mmoja nilyemuona ni huyu
Trend Reading: Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Frederick Tulway Sumaye, Yuko Njiani Kurejea Nyumbani CCM?. Asiporejea Ampokee Mbowe Uenyekiti!
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa members humu niliyejibainisha ni trend Reader mzuri. Kusoma trends sio utabiri bali ni kusoma mielekeo. Trend ya leo ni maandalizi ya mwisho mwisho ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Tulway Sumaye kurejea nyumbani CCM . Trend hii ni kufuatia kuotazama na...www.jamiiforums.com
P
Nadhani box la kura ndilo ndilo lenye maamuzi.Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS.
Hivi majuzi ulianza mchakato wa uchakuzi mkuu ndani ya CHADEMA kuwachagua viongozi wao wakuu wa kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano mbele, mchakato huu umeshuhudiwa ukigubikwa na vitimbi vya kila aina ndani ya chama hicho.
Hivi majuzi nimemsikiliza Prof. Safari aliyekuwa mwenyekiti msaidizi wa chama hicho kwa kipindi cha nyuma akizungumzia masuala kadhaa yaliyohusu mchakato huo wa uchaguzi ndani ya chama hicho.
Kwa ujumla Prof. Safari alizungumzia mambo mengi kama vile kutokuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya chama hicho japo mwenyekiti wa chama hicho na wafuasi wake wanahubiri na kujinasibu kuwa chama chao kina demokrasia hali inayopingana na uhalisia uliopo ndani ya chama hicho.
Aidha aliongeza kuwa yapo mengi yanayosemwa na wadau na wachambuzi mbalimbali wa masuala ya siasa na Demokrasia kukikosoa Chama hicho japo uongozi wa juu “unayafumbia macho” mambo hayo huku yakiwa na ukweli ndani yake.
Mambo mengine ni pamoja na maamuzi yanayohusu chama hicho hufanywa na kikudi cha watu wachache “High levels” (sio kamati kuu) na baadaye kuutangazia umma kuwa ni maamuzi ya kamati kuu ili hali miongoni mwa kamati kuu hawajui what going on.
Ukichukua muda wako kumsikiliza na kumtafakari Prof. Safari utagundua kuwa yapo mengi yaliyo na ukakasi ndani ya chama hicho japo wanachana na viongozi wanaonekana kama “all is well” ndani ya chama hicho.
Swali la kujiuliza ni kuwa kwanini wabunge na viongozi wa chama hicho hawasubutu kunyanyua vinywa vyao kuyasema yanayowakwaza.
Anyway sitaki kuwakumbusha kuhusu CHACHA WANGWE wala visa vya ZITTO KABWE kipindi walipotia nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa katika chama hicho, achilia mbali yaliyomsibu Mzee Sumaye hivi majuzi mpaka kumpelekea kuachana na chama hicho.
Viongozi wengi ndani ya Chama hicho wamemeza ndoano hali inayowasababisha kusema NDIO pale boss wao anaposema ndio na akisema HAPANA basi wooote kwa pamoja wanaitikia HAPANA kwa shangwe na vigelegele wakisaidiwa na vijana wao waliojazana katika mitandao ya kijamii.
Utakuwa unajiuliza hiyo ndoano wameimezaje, ndoano hiyo wengi wao wameimeza kwa “kupewa” nyadhifa fulani fulani ndani ya chama hicho na wengine kupitishwa kwenye majimbo mbalimbali ili wagombee Ubunge (Tonge tamu jamani), ukinyanyua kinywa tu yanakukuta ya Mzee Sumaye na kanda ya Pwani yake.
Ukitaka kuthibitisha hili rejea kauli ya Mbowe hivi majuzi aliposema kuwa anamtaka Lissu awe makamu mwenyekiti wa chama hicho na baadae Lissu kutumiwa fomu ya kuwania umakamu mwenyekiti na kuijaza kisha kuirejesha, hii maana yake nini?
Hii inamanisha hizo process za ujazaji na urejeshaji wa fomu ni ushahidi tu kuwa hatua zimefuatwa ila kiuhalisia tayari boss kashasema na kashaamua Lissu atakuwa Makamu Mwenyekiti wake utake usitake, very interesting.
Mzee Sumaye alionywa sana kuhusu kugombea nafasi ya kiti cha enzi cha Mzee mwenye chama ila alishupaza shingo na kuamua kujitosa kuwania nafasi hiyo asijue kuwa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe (waandaaji wa kitimoto rosti wanaelewa namaanisha nini hapa).
Yaliyomtokea ndio kama mlivyosikia haina haja ya kuyaeleza sana japo bottom of line ni kuwa mzee aliangukia pua katika nafasi ya uenyekiti kanda ya Pwani kwa kupata kura nyingi za HAPANA dhidi ya kura za NDIO, hii ndio inaitwa usijaribu kucheza na kiti cha mfalme.
Wahenga walisema ya ngoswe muachie ngoswe, nami mwandishi wenu namwachia ngoswe aendelee kuongoza Saccoss yake kwa utashi wake.
Ila niwashauri kuwa pale wanapoimba kuhusu Demokrasia wahakikishe wanaanzia kwenye chama chao wawe na uhalali wa kusimama majukwaani na kutokwa na misuli ya shingo kuhubiri kuhusu demokrasia.
Nisiwachoshe kwa leo acha niwatakie majukumu mema tukutane tena kwenye makala nyingine tukijaaliwa uzima.
CCC wana uthubutu wa kufanya unayoyasema?Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS.

Wewe mtu wa lumumba yanakuhusu nini mambo ya CHADEMA? Lini ukawatakia mema wapinzani wako?Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS.

Ya ccm yamewashinda sasa wamakomaa na ya chademaWewe mtu wa lumumba yanakuhusu nini mambo ya CHADEMA? Lini ukawatakia mema wapinzani wako?
Mueleze kama cdm walimuua wangwe,alete ushahidi.TISS wapo KGB,FBI,Interpol etc mossad pia.afungue kesi.bila ivyo uyu ni mbea kama mwanamkeAsante sana kwa hii thread
P
Punguani ni yule anayelamba miguu ya mafisadi ccmUnapigania Uhuru gani hapa punguanii wewe..mnadanganywa na nyinyi mnaingia mazima...jamaa aliwaambia anachenjia gia angani akamleta Lowasa mkakubali..huku yeye anaweka sadaka yake aliyopewa kinondoni then baadae kuirushia nje ya nchi..hahahahha...wajinga ndio waliwao..unadhani viongozi wooote wenu walioondoka hawani akili..mpaka Prof Safari mfia chama katimua,,,...Daaaaa hapo sio salama bwegee wewwww
Ongezea na wabunge wa chama hicho wanaolazimishwa kukatwa mishahara yao kujenga chama.hp4510, Upande unaoumia kwa uongozi wa Mhe. Mbowe ni wafuasi wa Chadema.
P
Hahaha hivi chadema mafisadi wapo au hawapo. Tuambie ripoti ya CAG ilisemaje kuhusu ufisadi wa mabilioni kwenye chama chenu. Mmekaa kimya utadhani hakuna kilichotokea✌️sijui mmelogwaPunguani ni yule anayelamba miguu ya mafisadi ccm
Juzi mwenyekiti wa ccm mstaafu mkapa kakiri kuiba pesa EPA waliofaidi ni wahindi rostam wewe jee kapuku?