Uhalisia wa mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa katika picha

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.

20230502_150125.jpg

Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi na kumaliza utata wowote uliokuwepo.

Nawashukuru wataalamu wa TEHAMA waliowezesha zoezi hili kukamilika na pia Bwana Magori maana jedwali lake lilitusukuma kutengeneza hili.

Usisikilize matapeli watakupoteza.
 
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwari linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF...
Kwa sasa mmetoka kwenye mbio za kubeba makombe mmehamia kwenye majedwali!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwari linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF...
Hii mimba mliowekwa haitoki hata kwa misso
 
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.

View attachment 2607247

Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi na kumaliza utata wowote uliokuwepo.

Nawashukuru wataalamu wa TEHAMA waliowezesha zoezi hili kukamilika na pia Bwana Magori maana jedwali lake lilitusukuma kutengeneza hili.

Usisikilize matapeli watakupoteza.
Nyinyi kweli mlistahili kuitwa mbumbumbu! Yaani mnaishi kama kasuku.

Kiongozi wenu akija na jedwali la kuwafariji, wote mnalishikia bango kulitangaza! Manara asiseme kitu Instagram!! Lazima mje humu jukwaani kukisimulia!! Aisee mnatia huruma.

Wenzenu wako nusu fainali, nyinyi mko busy na majedwali ya kujifariji!!
 
Wakati nyie mnabwabwaja sisi tunawapeleka kisomi. Tofauti yetu iko hapo. Kuna uzi nilileta kuongelea haya mambo kabla ya huyo mzungu toleo feki wenu hajaongea.
 
Wazee wa majedwali! Hamshindwi kitu nyinyi. Ila ndiyo hivyo sasa. Yanga tuko nusu fainali kombe la shirikisho.
 
Yote hii ni kwasababu yanga kaingia kucheza nusu fainali?, Hebu tukubali haya Simba alishacheza fainali ya kombe la washindi...... Je hili litaondoa current situation iliyopo ya yanga kufuzu nusu fainali shirikisho?. Acheni kutumia nguvu kubwa kupinga mafanikio yaliyopo sasa kulinganisha na miaka ya 1974😅.
 
Back
Top Bottom