Kwa sasa mmetoka kwenye mbio za kubeba makombe mmehamia kwenye majedwali!Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwari linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF...
Kula chuma hichoKwa sasa mmetoka kwenye mbio za kubeba makombe mmehamia kwenye majedwali!
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hii mimba mliowekwa haitoki hata kwa missoKutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwari linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF...
Nyinyi kweli mlistahili kuitwa mbumbumbu! Yaani mnaishi kama kasuku.Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.
View attachment 2607247
Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi na kumaliza utata wowote uliokuwepo.
Nawashukuru wataalamu wa TEHAMA waliowezesha zoezi hili kukamilika na pia Bwana Magori maana jedwali lake lilitusukuma kutengeneza hili.
Usisikilize matapeli watakupoteza.
Wakati nyie mnabwabwaja sisi tunawapeleka kisomi. Tofauti yetu iko hapo. Kuna uzi nilileta kuongelea haya mambo kabla ya huyo mzungu toleo feki wenu hajaongea.Nyinyi kweli mlistahili kuitwa mbumbumbu! Yaani mnaishi kama kasuku.
Kiongozi wenu akija na jedwali la kuwafariji, wote mnalishikia bango kulitangaza! Manara asiseme kitu Instagram!! Lazima mje humu jukwaani kukisimulia!! Aisee mnatia huruma.
Wenzenu wako nusu fainali, nyinyi mko busy na majedwali ya kujifariji!!
Wazee wa majedwali! Hamshindwi kitu nyinyi. Ila ndiyo hivyo sasa. Yanga tuko nusu fainali kombe la shirikisho.Wakati nyie mnabwabwaja sisi tunawapeleka kisomi. Tofauti yetu iko hapo. Kuna uzi nilileta kuongelea haya mambo kabla ya huyo mzungu toleo feki wenu hajaongea.
Aisee fanya faster ku screenshot! Maana ni wakati muafaka sasa kwa kila shabiki wa simba kutembea kifua mbele na hilo jedwali. Maana hakuna namna nyingine.Ngoja Niliscreenshot kabsa hili jedwali maan Wachambuzi walishaanza kunishinda Nguvu huku Dodoma.