Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kabla ya uchaguzi mambo huwa hivi 👇🏽
Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi 👇🏽
AKILI KUMKICHWA 😀
Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi 👇🏽
AKILI KUMKICHWA 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hiyo inaitwa "amrish kapul".Hii kitaalam inaitwa mtumikie Kaffir upate ujira wako.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupumbazwa na mwanasiasa yoyote, they're one and the same. Yaani kabisa na akili zako timamu unasimama foleni kumpigia mtu kura, labda kama inajipigia mwenyewe au unampigia mkeo au mzazi wako au mtoto wako.Hivi watu wanaopumbazwa na CCM kuwapigia magoti wakati wa chaguzi akili zao huwaje?