Uhalisia wa mambo, Kabla na Baada ya Uchaguzi

Hivi watu wanaopumbazwa na CCM kuwapigia magoti wakati wa chaguzi akili zao huwaje?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupumbazwa na mwanasiasa yoyote, they're one and the same. Yaani kabisa na akili zako timamu unasimama foleni kumpigia mtu kura, labda kama inajipigia mwenyewe au unampigia mkeo au mzazi wako au mtoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…