Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Necta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete!

Hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.

Kwa mujibu wa habari hii chini, tunaweza kusema:

Kati ya wanafunzi 397,136 waliofanya mtihani; 240,750 walipata SIFURI!
- Division I - 1,641 => 0.41%
- Division II - 6,453 => 1.62%
- Division III - 15,426 => 3.88%
- Division IV - 103,327 => 26.02%
- Division 0 = [397,136 - (1,641+6,453+15,426+103,327)] -> 270,289 => 68.06%


Assuming Division 0 si 68% kama ilivyo hapo juu; na kufuata jinsi ambavyo Waziri katangaza; Tuangalie mtiririko wa matokeo kwa miaka mfuatano:

2012 Form 4 results

DIV 1: 1,641 (0.4%)
DIV 2: 6,453 (1.6%)
DIV 3: 15,426 (3.9%)
DIV 4: 103,327 (26.0%)
DIV 0: 240,903 (60.1%)

2011 Form 4 results

DIV 1: 3,671 (1.09%)
DIV 2: 8,112 (2.41%)
DIV 3: 21,794 (6.84%)
DIV 4: 146,639 (43.60%)
DIV 0: 156,085 (46.41%)

2010 Form 4 results

DIV 1: 5,363 (1.53%)
DIV 2: 9,944 (2.83%)
DIV 3: 25,107 (7.14%)
DIV 4: 136,777 (38.9%)
DIV 0: 174,407 (49.60%)

2009 Form 4 results

DIV 1: 4,419 (1.78%)
DIV 2: 10,493 (4.21%)
DIV 3: 27,310 (11.2%)
DIV 4: 130,651 (52.61%)
DIV 0: 65,708 (26.46%)

Wapi tunaelekea?

 
nahisi ndio maana hawajaweka majina ili usijue mtoto wa nani kafeli ila its dis appointing sana yaaani hizo div 0 hadi kero
 
Zilizoongoza
Feza # 3 Tanzania
#1 Dar es salaam
Marian # 4 Tanzania
# 2 Pwani
Kibaha # 18 Tz
# 3 pwani

malizia nyingine
 
Necta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete! hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.

Ni sawa bac watutuwekee kweny emtandao maana hawaelewki hata kama wamefail watuwekee jamani.
 
Ni sawa bac watutuwekee kweny emtandao maana hawaelewki hata kama wamefail watuwekee jamani.

hali ni tete! shule za kata hali ni mbaya. mgomo wa walimu effects zimeanza kuonekana.
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.

Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.

Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
Source ni michuzi
 
Kwa hali mbaya ya matokeo ya kidato cha nne, naweza sema yamechangiwa sana na uhaba wa walimu pamoja na maslai duni yaliyowapeleka walimu katika migomo baridi..ni muda wa serikali sasa kupima na kuona jinsi ya kuokoa kizazi kilichobakia..hali si nzur
 
Tatizo hili limeanza kujitokeza miaka ya hivi karibuni na wala hakuna anayejali ni hulka tuliyonayo ya kutotafuta njia sahihi ya kutatua matatizo kwenye hatua za awali utashangaa hata hili litapita hakuna atayefanya lolote
 

hizi figure zako mbona hazi tally?? waliopata div IV ni wangapi????
 
Sijui serikali haina macho wala masikio. Hali imeshakuwa mbaya tangu watoto wa darasa la saba wanafaulu mitihani bila kujua kusoma.
 
hizi figure zako mbona hazi tally?? waliopata div IV ni wangapi????
Good observations maana hiyo 1641,6495 na 15426 ukijatoa na jumla 23520 unapata -42 licha ya kutosema division 4
 
Mbatia alipoleta hoja ya mitaala ya elimu ya tz wabunge wa ccm wakiongozwa na spika walimuona ni adui.
Serikali ya ccm imedhamiria kuzalisha mbumbumbu ili wawe mtaji wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
bwana elimu ya bongo sio hao walio fail waende wakachukue certificate, diploma then jiwe si ndo shortcut siku hizi. Pale TIA kusoma certificate mtu awe na D moja tu anaanza cheti. Unadhan degree kujazana mjini zinatoka wapi? Tena hao walio fail ndo uwa wanakunjuka na GPA za 3.8 na kuendelea kwaiyo wasiuzunike sana.
 
Hizo ni data kutoka michuzi sio mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…