Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Good observations maana hiyo 1641,6495 na 15426 ukijatoa na jumla 23520 unapata -42 licha ya kutosema division 4

Hizo ni data kutoka kwa michuzi blog sijaongeza wala kupunguza kitu......ukute wizara haijui ukweli
 
Kawambwa, elewa! matokeo ni mabaya, ziro zimekuwa nyingi zaidi..hali sio nzuri
 
Hizo ni data kutoka kwa michuzi blog sijaongeza wala kupunguza kitu......ukute wizara haijui ukweli
Najua sio wewe ndio mwenye data ila umetoa sehemu so usijali kaka ni katika hali ya kujadili huyo alieziandaa hizo data mkuu maana zinaualakini kidogo
 
hii serikali kama tungekuwa nauwezo unaweza tembeza hata fimbo kwa uongozi wote maana hawasikii, hawajifunzi, hawaelewi, niviziwi, etc
 
Thanks for that
Naamini haya matokeo ni ya kweli
 
bwana elimu ya bongo sio hao walio fail waende wakachukue certificate, diploma then jiwe si ndo shortcut siku hizi. Pale TIA kusoma certificate mtu awe na D moja tu anaanza cheti. Unadhan degree kujazana mjini zinatoka wapi? Tena hao walio fail ndo uwa wanakunjuka na GPA za 3.8 na kuendelea kwaiyo wasiuzunike sana.
Mkuu hata hiyo shortcut unayoisema wewe sio wote wanasifa za kuingia huko kwa matokeo haya zaidi ya 50% hawana hizo sifa za kwenda huko, pia degree unazozisema zimejazana ni zipo ukilinganisha na takwimu za watanzania zaidi ta 40milioni
 
Nchi haina mitaala ya kufundishia,
Mbatia kaleta hoja alafu wabunge wa ccm wakiongozwa na ndugai wakapuuza hoja.
Ccm inataka watoto wetu wawe mbumbumbu kwa sababu wanajua ndio mtaji mkuu wa kura za ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.

Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.

Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
Source ni michuzi

duhhhh,,,,yani nitawashangaa sana necta kama ni wao wamezikosea data hizi,,, wao kama taasisi ya elimu,, ila kwa sasa wacha tumassume kua data zimekosewa na michuzi blog, as ur source mkuu
 
kati ya watahiniwa 397,136 waliofanya mtihani, walifaulu ni 126,847 (daraja i-iv)

daraja I- 1,641 (0.4%)
daraja II- 6,453 (1.6%)
daraja III- 15,426
(3.9%)
daraja IV- 103,327
(26.0%)
daraja 0- 240,903
(60.7%)

sasa wanaoweza kwenda form 5 na 6 ambao ni kuanzia daraja la I-III jumla yao ni 23,520 (elfu ishirini na tatu mia tano na ishirini) kati ya wanafunzi 397,136 (laki tatu tisini na saba elfu mia moja thelasini na sita)
hii ni sawa na 5.9224%.

HII NDIO NCHI YETU NA VIJANA WAJAO WA KUJENGA TAIFA, TUNAWAITA TAIFA LA KESHO.
 
Back
Top Bottom