Good observations maana hiyo 1641,6495 na 15426 ukijatoa na jumla 23520 unapata -42 licha ya kutosema division 4
hizi figure zako mbona hazi tally?? waliopata div IV ni wangapi????
Najua sio wewe ndio mwenye data ila umetoa sehemu so usijali kaka ni katika hali ya kujadili huyo alieziandaa hizo data mkuu maana zinaualakini kidogoHizo ni data kutoka kwa michuzi blog sijaongeza wala kupunguza kitu......ukute wizara haijui ukweli
Mkuu hata hiyo shortcut unayoisema wewe sio wote wanasifa za kuingia huko kwa matokeo haya zaidi ya 50% hawana hizo sifa za kwenda huko, pia degree unazozisema zimejazana ni zipo ukilinganisha na takwimu za watanzania zaidi ta 40milionibwana elimu ya bongo sio hao walio fail waende wakachukue certificate, diploma then jiwe si ndo shortcut siku hizi. Pale TIA kusoma certificate mtu awe na D moja tu anaanza cheti. Unadhan degree kujazana mjini zinatoka wapi? Tena hao walio fail ndo uwa wanakunjuka na GPA za 3.8 na kuendelea kwaiyo wasiuzunike sana.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.
Source ni michuzi
jamani matokeo yanatia kichefuchefu kuyaangalia http://www.necta.go.tz/matokeo2012/csee2012/olevel.htm