kazi ipo! hawapeleki watoto mwao shule za kata! ila watoto wa wenzao ndio wamewajaza huko, rubbish!
Technically, Division IV wanaangukia kwenye kundi la walio feli. Na ukijumlisha Division IV na wale wa Zero, unapata 93% ya wanafunzi waliofanya mtihani wamefeli. 93% failure! Heads must roll!
Tusubilie maandamano tena ya waslimu kwa ndalichako, kwani 20 bora hakuna shule yao kabisa..... lakin sijui kwani wanaandamana wakat shule zao wanafundishwa sana elimu ya dini kuliko masomo mengne wanategemea waongoze yani waganafurahisha sanaaaaaaaaaaaaaa....
~ Utawasikia mfumo kirstu
~ Wamefaulu wakirstu na shule zao wakati hamis na asha usoma hapo
~ Anaeongoza baraza ni mkirstu wakat watendaj weng ni wasilamu
~ Wamesaisha vibaya somo la uisilmu wakati wataalum hawana plus mitaala wakulifundisha somo hili lakin wataalamu wanojua uislam wapo weng na ndio ufundisha
Yani nchi yangu tamu sana, hongelen shule 20 bora endele kuweka misingi bora ya elimu musijibizane nao.....
Na tabasamu analipataje?
Kuna watu nawatamani sana jinsi wanavyochukulia mambo.
waalimu walishasema wakati wa migomo yao, hamkuwaelewa?tutegemee mabaya zaidi kama madai ya waalimu hayatazingatiwa. Mimi ni mwalimu tunajua tunachofanya!
Huu ni uzembe tu kuna wafanyakazi wangapi wanalipwa mishahara midogo kama majeshi yetu lakini hawagomi na hawalalamiki swala ni uzembe tu na wakaguzi wanakaa tu offisini wakila hela za ukaguzi wangapi tunashudia mshahara wanalipwa mdogo lakini watimiza kazi zao huuu ni uzembe tu wa kufundisha tu unaochangiwa na uongozi mbovuKwa hali mbaya ya matokeo ya kidato cha nne, naweza sema yamechangiwa sana na uhaba wa walimu pamoja na maslai duni yaliyowapeleka walimu katika migomo baridi..ni muda wa serikali sasa kupima na kuona jinsi ya kuokoa kizazi kilichobakia..hali si nzur
Tulichagua wenyewe kwa kupewa doti hivyo tusilalamike sana, tuvumilie imebaki miaka miwili tu tutapata fursa nyingine... tukiichezeya na hiyo basi tumelaaniwa
Loh 7% ndo div 1-3? Kweli mitoto siku hizi haisomi!
Tusubilie maandamano tena ya waslimu kwa ndalichako, kwani 20 bora hakuna shule yao kabisa..... lakin sijui kwani wanaandamana wakat shule zao wanafundishwa sana elimu ya dini kuliko masomo mengne wanategemea waongoze yani waganafurahisha sanaaaaaaaaaaaaaa....
~ Utawasikia mfumo kirstu
~ Wamefaulu wakirstu na shule zao wakati hamis na asha usoma hapo
~ Anaeongoza baraza ni mkirstu wakat watendaj weng ni wasilamu
~ Wamesaisha vibaya somo la uisilmu wakati wataalum hawana plus mitaala wakulifundisha somo hili lakin wataalamu wanojua uislam wapo weng na ndio ufundisha
Yani nchi yangu tamu sana, hongelen shule 20 bora endele kuweka misingi bora ya elimu musijibizane nao.....
Loh 7% ndo div 1-3? Kweli mitoto siku hizi haisomi!
Heri ya mwaka mpya, Tume ya Katiba! ADC mna sera bora za kuokoa hili jahazi?
inashangaza, hiyo si shule ya wajinga aka waislaam?
Jumla
[TD="class: xl67"]Division
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 65"]F
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 70"]M
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 67"]Totals
[/TD]
[TD="class: xl68, width: 6"][/TD]
[TD="class: xl67, width: 64"]F
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 64"]M
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 64"]Totals
[/TD]
[TD="class: xl64"]Div I
[/TD]
[TD="class: xl65"]568
[/TD]
[TD="class: xl65"]1,073
[/TD]
[TD="class: xl65"]1,641
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]0.2%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]0.3%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]0.4%
[/TD]
[TD="class: xl64"]Div II
[/TD]
[TD="class: xl65"]1,997
[/TD]
[TD="class: xl65"]4,456
[/TD]
[TD="class: xl65"]6,453
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]0.5%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]1.2%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]1.8%
[/TD]
[TD="class: xl64"]Div III
[/TD]
[TD="class: xl65"]4,613
[/TD]
[TD="class: xl65"]10,813
[/TD]
[TD="class: xl65"]15,426
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]1.3%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]2.9%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]4.2%
[/TD]
[TD="class: xl64"]Div IV
[/TD]
[TD="class: xl65"]38,983
[/TD]
[TD="class: xl65"]64,344
[/TD]
[TD="class: xl65"]103,327
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]10.6%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]17.5%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]28.1%
[/TD]
[TD="class: xl64"]Div Zero
[/TD]
[TD="class: xl65"]120,239
[/TD]
[TD="class: xl65"]120,664
[/TD]
[TD="class: xl65"]240,903
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]32.7%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]32.8%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]65.5%
[/TD]
[TD="class: xl70"]166,400
[/TD]
[TD="class: xl70"]201,350
[/TD]
[TD="class: xl70"]367,750
[/TD]
[TD="class: xl69, align: right"]45%
[/TD]
[TD="class: xl69, align: right"]55%
[/TD]
[TD="class: xl69, align: right"]100%
[/TD]
[TD="class: xl63"][/TD]
[TD="class: xl63"][/TD]
[TD="class: xl63"][/TD]
[TD="class: xl64"]Waliofanya
[/TD]
[TD="class: xl65"]166,400
[/TD]
[TD="class: xl65"]201,350
[/TD]
[TD="class: xl65"]367,750
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]42.7%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]51.7%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]94.4%
[/TD]
[TD="class: xl64"]Hawakufanya
[/TD]
[TD="class: xl65"]14,090
[/TD]
[TD="class: xl65"]7,730
[/TD]
[TD="class: xl65"]21,820
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]3.6%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]2.0%
[/TD]
[TD="class: xl66, align: right"]5.6%
[/TD]
[TD="class: xl70"]180,490
[/TD]
[TD="class: xl70"]209,080
[/TD]
[TD="class: xl70"]389,570
[/TD]
[TD="class: xl71, align: right"]46.3%
[/TD]
[TD="class: xl71, align: right"]53.7%
[/TD]
[TD="class: xl71, align: right"]100.0%
[/TD]
Kwa hali mbaya ya matokeo ya kidato cha nne, naweza sema yamechangiwa sana na uhaba wa walimu pamoja na maslai duni yaliyowapeleka walimu katika migomo baridi..ni muda wa serikali sasa kupima na kuona jinsi ya kuokoa kizazi kilichobakia..hali si nzur
Loh 7% ndo div 1-3? Kweli mitoto siku hizi haisomi!