Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Matokeo ya kidato cha nne ni dalili ya nini kama siyo mabadiliko ya thamani ya elimu kuwa vijana wanaona haina msaada katika maisha yao baada ya kuona kaka zao wanasaga lami baada ya kuhitimu.............................
 
Matokeo ya kidato cha nne ni dalili ya nini kama siyo mabadiliko ya thamani ya elimu kuwa vijana wanaona haina msaada katika maisha yao baada ya kuona kaka zao wanasaga lami baada ya kuhitimu.............................
Mkuu Rutashubanyuma Kama ni Ulaya Waziri wa elimu na katibu mkuu wake wa Wizara ya Elimu wangesha jiuzulu lakini katika nchi zetu za Ki-Afrika Waziri waElimu na Katibu wake mkuu wanadunda kama vile hakuna makosa yoyote yale . unaushauri upi kuhusu huo mfumo duni wa elimu wa Ki-Tanzania?
 
Waziri wa Elimu ajiuzulu- watanzania-

WADAU mbalimbali wa elimu wakiwemo wananchi wanamtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, ajiuzulu kutokana na aibu kubwa ya matokeo mabovu ya kidato cha nne ya mwaka 2012

Wamemtaka waziri huyo ajiuzulu ili kulinusuru taifa katika janga hilo la elimu na hatua za haraka za kunusuru elimu zichukuliwe.

Juzi matokeo hayo yalitangazwa na waziri huyo na kuleta taharuki kwa kuwa asilimia 60 ya wanafunzi waliofanya mtihani huo wamefeli vibaya

Matokeo hayo yamewashitusha Watanzania walio wengi.

Matokeo hayo yamebainisha asilimia 60 wamepata daraja sifuri hiyo inahisiwa inatokana na ubovu wa mfumo wa elimu uliopo sasa pamoja na mishahara midogo ya walimu.


Wadau hao walisema hali hiyo, inahatarisha tatizo la ajira kwa vijana na kuandaa taifa la majambazi kutokana na kukosa vyeti vya kidato hicho


Hivyo wameitaka serikali kujipanga upya kwa kubadilisha mfumo wa elimu nchini ikiwemo na kuwajali walimu ambao wamesahaulika na serikali yao ambao sasa imeonekana walimu wengi kuikimbia taaluma ya ufundishaji kutokana na mazingira magumu yanayopatikana katika sekta hiyo

Matokeo hayo imevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru wake mwaka 1961.

Kufuatia matokeo hayo Mwenyekiti wa Chadema, Freemon Mbowe, amemtaka waziri huyo ajiuzulu ili kulinda heshima ya nchi kufuatia matokeo hayo mabaya. chanzo. http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=6811626&&Cat=1


 
789 wafutiwa matokeo, 24 kati yao waandika matusi na nyimbo za mapenzi.

SHULE za Sekondari za serikali zimeshika mkia katika matokeo mitihani ya kidato cha nne 2012 huku shule binafsi zikiongoza kufanya vizuri kati ya shule 20 bora zilizofanya vizuri

Waziri wa Elimu Dk. Kawambwa amesema wakati akitangaza matokeo hayo kuwa jumla ya wanafunzi 789 wameafutiwa matokeo ambapo wanafunzi 624 ni watahaniwa wa shule na 148 ni wa kujitegemea.


170 walifutiwa baada ya kukamatwa na wasimamizi ndani ya chumba cha mtihani na ‘notes’ , 590 walifutiwa baada ya kubainika kuwa na mfanano wa majibu, huku wanne walikamatwa wakiwafanyia watahiniwa wenzao mtihani.

Sita walifutiwa kutokana na kukamatwa na simu ndani ya chumba cha mtihani na wengine sita walikamatwa na wasimamizi wakibadilishana karatasi za maswali

24 wafutiwa walifutiwa matokeo kwa kuandika matusi kwenye skripti zao za

Hivyo wote hao wamefutiwa kutokana na Kifungu cha 6(2) (a) cha Kanuni za Mitihani

Mbali na waliofutiwa Kawambwa alifafanua wanafunzi wapatao 28,582 walizuiliwa matokeo yao kutokana na kutolipa ada ya mtihani.

Dk. Kawambwa alizitaja shule 20 zilizofanya vizuri kwenye kundi la shule zenye watahaniwa 40 au zaidi ni St. Francis Girls (Mbeya); Marian Boys (Pwani); Feza Boys (Dar es salaam); Marian Girls (Pwani); Rosmini Sekondari (Tanga); Canossa Sekondari (Dar es Salaam); Jude Moshono Sekondari (Arusha) na St Mary’s Mazinde Juu (Tanga).

Nyingine ni Anwarite Girls (Kilimanjaro); Kifungilo Girls (Tanga); Feza Girls (Dar es Salaam); Kandoto Sayansi Girls (Kilimanjaro); Don Bosco Seminary (Iringa); St. Joseph Millenium (Dar es Salaam); St. Joseph’s Iterambogo (Kigoma); St. James Seminary (Kilimanjaro); Mzumbe Sekondari (Morogoro); Kibaha Sekondari (Pwani); Nyegezi Seminary (Mwanza) na Tengeru Boys (Arusha). chanzo.
789 wafutiwa matokeo, 24 kati yao waandika matusi na nyimbo za mapenzi

 
Mkuu Rutashubanyuma Kama ni Ulaya Waziri wa elimu na katibu mkuu wake wa Wizara ya Elimu wangesha jiuzulu lakini katika nchi zetu za Ki-Afrika Waziri waElimu na Katibu wake mkuu wanadunda kama vile hakuna makosa yoyote yale . unaushauri upi kuhusu huo mfumo duni wa elimu wa Ki-Tanzania?
Bongo wakijiuzulu watakula wapi? Hakuna plan B, Bongo. Mtu akitoka serikalini anapigika kishenzi manake anakuwa hana thamani tena na hata vile vijibahasha vya kila wikiendi hapewi tena. NDIO MAANA UNASIKIA MTU ANAKOMAA TU hata kama madudu yamefanyika.
 
Bongo wakijiuzulu watakula wapi? Hakuna plan B, Bongo. Mtu akitoka serikalini anapigika kishenzi manake anakuwa hana thamani tena na hata vile vijibahasha vya kila wikiendi hapewi tena. NDIO MAANA UNASIKIA MTU ANAKOMAA TU hata kama madudu yamefanyika.
Mkuu mambomengi Wakijiuzulu watakula wapi ni kweli viongozi wenyewe ni Mafisadi hawawezi kuwajibika kamwe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rutashubanyuma Kama ni Ulaya Waziri wa elimu na katibu mkuu wake wa Wizara ya Elimu wangesha jiuzulu lakini katika nchi zetu za Ki-Afrika Waziri waElimu na Katibu wake mkuu wanadunda kama vile hakuna makosa yoyote yale . unaushauri upi kuhusu huo mfumo duni wa elimu wa Ki-Tanzania?

MziziMkavu wazungu wana utamaduni wa kuishi maisha yenye khofu ya Mwenyezi Mungu sisi tunajivunia ushirikina na dhuluma sasa uwajibikaji utatoka wapi? Tunaona hii dunia ndiyo mbingu yetu na ndiyo maana viongozi wakiugua huzikimbia hospitali zetu wakifiria kwa wazungu kutawanusuru..................na hata watoto wao lamwe hawasomi shule za umma kwa sababu wanajua jinsi ambavyo wameziharibu
 
MziziMkavu wazungu wana utamaduni wa kuishi maisha yenye khofu ya Mwenyezi Mungu sisi tunajivunia ushirikina na dhuluma sasa uwajibikaji utatoka wapi? Tunaona hii dunia ndiyo mbingu yetu na ndiyo maana viongozi wakiugua huzikimbia hospitali zetu wakifiria kwa wazungu kutawanusuru..................na hata watoto wao lamwe hawasomi shule za umma kwa sababu wanajua jinsi ambavyo wameziharibu
Mkuu Rutashubanyuma Mawazo na ushauri wako nini kifanye ili kuokowa Taifa kutokana na wanafunzi wengi watakuwa hawana Elimu na huku wamemaliza kidato IV Zero?
 
Last edited by a moderator:
naweza kukwambia kuwa wanafunzi wote walikuwa wanatumia mambo hayo yafuatayo,na hakuna asie elewa matatizo ya mitandao ya kijamii haswa inapogeuka kuwa ni mitandao ya kutongozeana na kutafuta wapenzi,matokeo yake kwa mwanafunzi ni kufeli,na kwa mwanamke ni kuacha na mumewe,au mke kutoroka,na anaefanya kazi maofisini akiiendekeza sana,si ajabu akafukuzwa kazi.
1:View attachment 840852:View attachment 840863:View attachment 840874:View attachment 84088
Acha ukilaza na upotoshaji. Kwahiyo fb, twitter nk ipo Tanzania tu ? Msikwepe ukweli ambao ni madai ya walimu, mitaala, na uongozi wa kina mulugo na kawambwa
 
HIZI ZAWEZA KUWA SABABU ZA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KUFANYA VIBAYA MTIHANI WAO WA MWISHO MWAKA 2012


1. Aina ya vitabu vya kujifunzia (Unyangwine)
2. Uhaba wa walimu.
3. Uhaba wa vitabu vya kiada na ziada.
4. Walimu wa muda mfupi aka Voda Fasta
5. Mtihani wa kidato cha pili kufutwa.
6. Kutowajibika wa wazazi/walezi kwa watoto. Watoto wamebinafisishwa.
7. Mazingira mabovu ya walimu.
8. Mazingira ya shule za kata, hakuna hosteli kwa vijijini wanafunzi wamepanga, shule ziko mbali na mazingira ya nyumbani.
9. Utokuwepo wa maabara
10. Ukosefu wa maktaba, imesababisha kutokuwepo kwa kuondoa utamaduni wa kujisomea.
11. Alama za ufaulu wa darasa la saba ziko chini.
12. Uvunjifu wa sheria za mitihani husan darasa la saba.
13. Kubadilika kwa mihutasari mara kwa mara.
14. Walimu kupewa semina mbalimbali ili kupata maarifa mapya.
15. Utandawazi kama sio utandawizi


Hapo kwenye red! Kha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!

Hasara ya chama kimoja kwa miaka 51 ya uhuru!
 
CAUSES OF FAILURE AND SOLUTIONS
. CAUSES OF POOR PERFORMANCE FOR FORM FOUR EXAMINATION.
Any nation in the world is very serious in case of education, simply because for any society to attain development in every field of life, must invest much in education. Good and settle plans are given high priority preferable to the field of education. That is why western countries have succeeded on this. Now, for the case of Tanzania, we may look in deep this situation. The mass failure of students in Tanzania for the year 2012 has been contributed by different factors, namely:
Lack of seriousness among Tanzanians. The kind of seriousness which is discussed here, is that which mean- that majority of Tanzanians, we are not responsible or liable in caring education. Most of people take education in easy manner. We don’t consider education as a liberator toward our development. Education is the keyword for every person in order to have an insight on how he/she can deliver well life. Man born with no education, but is the subject of receiving education so as to cope better with daily life. If so, man is need of education, therefore it is responsible for him to secure education in serious way, knowing the fruit of that education.
Admission of disqualified students to secondary education. This has been a great problem to our education, just because of poor educational plans in our nation due to the poor political intolerance. Politics in any country is major and core point of national plans-means every nation decision is made under the umbrella of central government (political). Although, political is much evolved in deciding nation plans, but should not be used indifferently for the sake of cleaning government leaders to be seen better for the citizens. In case of this, the number of pupils joins secondary education unable to count, read and write while taken from primary schools as those passed primary education. This is quite different, and led them to fail in their final secondary exam.
The removal of form two secondary examinations. Examination in education is set for the purpose of measurement of a student to observe whether has understood what he/she taught or not. That is where evaluation is made for further manifestation. In Tanzania, this has been not taken in consideration and left aside. That is why form two examination has been removed. It is dangerous thing in education. To remove form two exam, actually which was giving a picture for form four examination, is the main source of severe failure. Hence, form two exanimation, most of student who settle for form four examination were clean at least to reduce failure (zero score). Though, zeros still were there, but not much as it is today.
The poor relationship between four groups-i.e. students, teachers, parents and government. These groups are not having enough rapport. Nowadays, students have no good relationship with teachers, teachers also have poor rapport with surrounding society (parents) and finally parents together loose satisfactory relation with government. The lack of good relationship among these groups, pave the way in poor performance in all issues concern with education. Finally disunity brings up disparity in working together as coherent in field of education leading poor performance in final examination, the case of candidates.
Wicked setting of educational syllabuses and random changing of national educational curriculum. In Tanzania, the subject syllabuses are not well set indeed of relevance to the environment, also curriculum has been in culture of changing in the short periods of time and find out not proper match to the need of Tanzanian education. Many of the schools run without proper defined curriculum. It is not the problem of the school runners rather is the mistake of government who suppose to identify a specific curriculum to be followed and ensure its implementation, but further to specify the clear stated time for the curriculum to be used indeed. When the syllabuses and curriculum are not well determined to guide in teaching and learning activities, the nation produces inappropriate learners and lead to the poor performance (zero scores).
The problem of teaching-learning language. Tanzania is known as famous country all over the world that uses Kiswahili as medium language for communication in officials. Despite of Kiswahili to be used in most of areas including officials, Kiswahili does not used in teaching for secondary schools, except to be opt as a single unit subject among nine subjects taught in secondary education. The language used in teaching and learning activities in our secondary schools is English for eight subjects and only single subject which is Kiswahili is taught in Kiswahili which is national language, and known by all Tanzanians including teachers and students. A student is taught in Kiswahili all the subjects in kindergarten to primary level, but since there, after attending to secondary school the language changes. So, English is proposed to be used in this level, while is difficult to most of students and teachers because they have no competence in English usage-hence failure in examinations.
Poor management of schools by government and other bodies. By the time of 2000’s, secondary schools in Tanzania increased rapidly under government policy of “shule za kata”. So, the increases of many ward schools, the government have been not succeeded to manage them well. Absence of organized management has taken into the way of producing many failures.
Absence of enough number of teachers and teaching equipments made a great possible to get high number of students graduated for their ordinary education to failure. There is no good number of secondary teachers who suffice with number of students (the number of students is higher compared to teachers). Also teaching equipments like those of science subjects, in case of ‘shule za kata’ laboratories and libraries so forth, are not available in most secondary schools in Tanzania. Instead, yet, science subjects are not practically conducted rather theoretical. This taken in consideration that, students instead of answering those subjects practically, are answering in theoretically hence failure.
Misbehaving of the students and failure to prevent immorality of the students as well as teachers. Today’s life have been changed a great in our societies, whichever, the increase of science and technology together with globalization through mass medias, made tolerance of western behaviors which actually, doe not cope with Tanzania or African traditional in the field of teaching-learning setting. Students’ truancy takes roots in secondary schools with no one cares on that, neither teachers nor parents. Punishment is avoided to those evil doers in schools, therefore no concentration on learning and teaching; which, its results is what we experience today.
Bad teaching environment and low salaries/allowances given to the teachers. Teachers does not considered as the professionals who need to be cared compared to others professionals. Teachers are the ones who receive low salaries and allowances and working in poor environment compared to other professional. Under this circumstance, teachers lack encouragement, and feel inferior to their field, something push them to drop down in teaching. Moreover, sometimes teachers leave at school before appropriate time and go to look for alternatives to increase their income. On other side, teachers do not attend effectively to schools just because of the factor identified.
The culture of forcing, every pupil who complete preliminary education, to join secondary education. This has been the problem to Tanzanian education and results to bad failure of the students in their exams; due to the reason behind that, not every student is interested in secondary education. Any person is capable of something which he masters according to his natural talent. Even sustaining in formal secondary academic is also a personal talent. So, man is intelligent, but not in every sphere of life; in that sense, the severe failure of form four students, is caused by dumping many student in secondary schools rather than considering the level of intelligence among students. Others may be blessed on other field and interested in, for instance, carpentry, artist (singers), fine arts so on. It could be good, to give the students chance to opt in which field wishes to go. By doing so, we may produce many experts in their fields rather than dumping them in academics.
Last but not least, the influence of the external donor to our system of education. This rushed Tanzanian education system from its originality to copy on western system that which is different to our traditional system we experienced. When we depend on outside aids, they enforce the government to draft the curriculum and syllabuses by including western contents than basing on our contents that are relevant to students and teachers in which become easy to present material in good manner since students capture and understand what are taught. Also is the source of our student to fail.
As has been discovered above, the results of the factors described is what now, most of Tanzanians we cries on- that- bad failure of form four students in the examination. It seems that, no direction to our education process and plans imposed toward education mission as the entirely nations. We have no responsibility, we don’t care about education and not much seriousness we pose to our education. Further serious damage to this results is lack of experts special in their areas of their inquiry, and lack of professionals who latter could contribute a bit to the development of nation. Also our nation will still on dependence of external-that-neo colonialism.
POSSIBLE SOLUTIONS TO BE TAKEN TO REDUCE/ERADICATE THE EXISTING PROBLEM.

Everything that occurs must be proportional to its cause(s), and decrease in quality for Tanzanian secondary education has been actively proven by poor performance of students I 2012; whereby, every Tanzanian has been shocked of it. And many factors have described. Strictly speaking and manifesting on addressing its solution, we must be probity to praxis inculcating suitable measures that keen our education for the future betterment of our societies and nation at large. To escape from the damage of exhausting Tanzanian education, the following should be practiced seriously:
Every citizen of Tanzania must bear himself/herself seriousness on activating enough for the contribution of rising our entirely education. For every person should put in mind that, it is his/her responsibility to improve education by any means so as to create the fruitful nation with clean elites. Each educational stakeholder and stake share is liable to exhibit the best means to the success of our education, either by imposing new plans for teaching-learning or school management. Children have to know their responsibility; teachers teach effectively, parents must take their responsible indeed the government have to exercise effort to lead educational institutions in proper way.
Ministry of education and vocational training should be careful on admitting students to secondary schools. This will reduce admission of several disqualified students who taken in secondary education. Because is the government vision to make sure that millennium goal is every Tanzanian access to secondary education. Actually, this is poor vision toward education. Something to understand is that, not everyone necessarily to acquire secondary education instead primary education. By so doing, secondary school will receive the clean children who are able to compete on getting sufficient education in secondary schools.
Form two examination must be given high priority. Government have to make sure that form two national examination is turned over to schools, and pose out strategic ways to make sure that every student who sit for final form four examination is able to tackle properly questions. Furthermore, every class since form one to form four must have an effective exam before entering to next class. But not only exam, also at least a student must acquire grade ‘C’ to jump for next class in order to have the good competent students and finally zero scores at the end of form four will be reduced.
Creation of good rapport among education stakeholders and stake shares – i.e. teachers, students, parents (society) and government. By building good relationship among these groups will bring up cooperation in working together and unify them. For this sense, teachers will care children in teaching by dealing them perpendicularly, parents will participate also in caring student development at schools by accompanying teachers; the government also will make nearby effective inspection at schools and providing teaching equipment at large.
 
Matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka 2012 yalitarajiwa, niliwah kutahadharisha mapema hapa jf hasa kutokana na aina ya wanafunzi wanaofaulu kwenda sekondar, lakini pamoja na mambo mengine, nakubaliana na hoja nying za wadau wa elimu kama miundo mbinu mibovu kama kukosekana maabara, mitaala ya hovyo ,serikal kuweka matabaka ya elimu bila kulipa walimu posho zao, walimu kupuuzwa haswa suala la mishahara, kupanda madaraja nk... pamoja na sababu zote hizo walimu wanastahil kubeba lawama kubwa kidogo.. wengi hawafundishi ipasavyo, kwa sababu hata somo kama civics halihitaj maabara, walimu hawawaandai vijana vzur, kingereza ni tatizo kwa mwalimu na mwanafunzi pya, walimu wamekuwa kimaslah zaid lakini serikal kubinya madai yao isiwe sababu ya kuadhibu kizaz hiki cha kesho kwa namna hii bhana..
 
Habarini wanaJF!!!!!Kwa mtazamo wangu, sababu za vijana wetu wa kidato cha nne kupata matokeo mabaya mwaka huu ni hizi zifuatazo:
  1. Mgomo wa muda mrefu wa walimu. Huu ni ule wa Shule za Msingi na Sekondari pia.
  2. Shule nyingi za Sekondari hasa zile za Kata maarufu kama yeboyebo kutokuwa na miundombinu ya kufundishia mathalani maabara za kutosha, vitabu, walimu wenye sifa n.k.
  3. Ukosefu wa Mitaala/mitalaa
  4. Misingi mibovu ya elimu wanayotokana nayo vijana wetu toka Shule za Msingi. Baadhi ya wanafunzi wanamaliza elimu ya Msingi hawajui kusoma wala kuandika.
  5. Shule nyingi za Sekondari hasa zile za Serikali (Shule za Kata) kusajiliwa na kuanza kupokea wanafunzi hata kama hazijakidhi viwango.Kwa mfano shule inafunguliwa huku ina walimu 2 ama 3 tu kwa ajili ya kufundisha wanafunzi 500 - 800, hakuna madarasa ya kutosha, madawati n.k.
  6. Kudhibitiwa kwa mianya ya mitihani kuvuja. Siku hizi vijana wetu wengi ni wavivu, hawana mwamko wa kusoma kwa bidii (labda pengine kutokana na matatizo lukuki ya kimiundombinu katika shule zetu) wakiwa na dhana kwamba siku ya mwisho watavujishiwa mitihani.
  7. Serikali kupuuza madai ya muda mrefu ya walimu.

Huu ni mtizamo wangu. Kwa yeyote mwenye sababu zaidi ya hizi aongezee.Karibuni!
 
We hizi sababu umetoa wapi? Wakati wahusika wenyewe wamesema ni facebook na tweeter ndo imesababisha.

Ndo maana vijijini wote wamepata div 1 kwakuwa hawaju facebook na tweeter, ndo maana ulaya na amerika wanafunzu wanafeli wote kwa kuwa facebook na tweeter zimeanzia huko.
Itabidi mitihani ya mwaka huu iwekwe kwenye facebook na tweeter ili angalau wanafunzi wafaulu kidogo
 
Back
Top Bottom