little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Mkuu hebu ipe ufafanuzi kidogo hii nilisoma kitabu kimoja cha Power of Attraction waligusia vitu kama hivi kuwa unachokiwaza ndiyo kinakuja kuwa katika uhalisia wa maisha yako.Kila kitu ni fikara mkuu.
Ukifikiri utajiri,basi nafsi yako huishi kitajiri na kupata utajiri ni haki yako.
huwezi kufikiri kujenga nyumba nzuri alafu usiijenge. Wazo ndio kila kitu mkuu