Uhalisia wa mbinguni au peponi

Uhalisia wa mbinguni au peponi

Kila kitu ni fikara mkuu.
Ukifikiri utajiri,basi nafsi yako huishi kitajiri na kupata utajiri ni haki yako.
huwezi kufikiri kujenga nyumba nzuri alafu usiijenge. Wazo ndio kila kitu mkuu
Mkuu hebu ipe ufafanuzi kidogo hii nilisoma kitabu kimoja cha Power of Attraction waligusia vitu kama hivi kuwa unachokiwaza ndiyo kinakuja kuwa katika uhalisia wa maisha yako.
 
Malipo ya mwili ni hapa hapa duniani mkuu.
Adhabu ilishatolewa tangu mwanzo kuwa ukichagua kuishi daima basi kuwa na fikara njema lakini ukitaka kupotea kuwa na fikara mbaya.

Zaidi na zaidi ni kuwa, ukiona umetenda hujaadhibiwa jua watoto wako wapo kwenye orodha ya adhabu zako. Ikiwa mtoto anarithi sura, rangi, tabia n.k pia uwezekano wa kurithi adhabu zako upo.

Aisee.
 
Mkuu kila kitu ni fikara tuu, vile uwazavyo kitu chochote mara kwa mara kitu hicho huweza kutokea kwa njia ya mwili.
Hakuna lisilowezekana chini ya jua Mkuu. Kama uliweza kuwaza hivyo basi uwezekano wa kutenda upo.

Mawazo ndio msingi wa maisha
 
...VIP wanaoua na wanakua na maisha bomba mpaka wanakufa,...hao adhabu ya maovu yao inalipwaje
 
Hao chamoto wanakipata kupitia kizazi chao
...this is unfair mkuu,..kosa nitende mm halafu waadhibiwe wenginw.?
....ila hili andiko ni zuri na fikirishi saaaana, thanks for the post chief
 
Ndio hivyo mkuu, ndivyo tunavyoishi. Alitenda dhambi mwingine huoni tunakufa wote.

Mbona wewe unaweza kuwa mfupi na mkeo mfupi mkazaa mtoto mfupi lakini mtoto hakutaka huo ufupi je ni halali hiyo kwa mtoto
 
...ahahahaaaa nimekuelewa kiongozi
 
Mkuu kila kitu ni fikara tuu, vile uwazavyo kitu chochote mara kwa mara kitu hicho huweza kutokea kwa njia ya mwili.
Hakuna lisilowezekana chini ya jua Mkuu. Kama uliweza kuwaza hivyo basi uwezekano wa kutenda upo.

Mawazo ndio msingi wa maisha
Kisichowezekana ni kufa na kufufuka tu[emoji54] [emoji54]
 
Back
Top Bottom