Uhalisia wa Shetani (Utaifahamu kweli, na hiyo kweli itakuweka huru)

Kwanza lazima ujue shetani aliumbwa na Mungu.
Kazi kubwa ya shetani ni kuwashitaki wanadamu kwa Mungu wale wanaovunja Sheria ama torati.
Ukisoma inaonekana kama shetani kazi yake ni Ku prove kuwa binadamu hana haki ya kuishi kwa vile hawezi kushika sheria za Mungu,kitu ambacho ni ukweli mchungu ni kuwa ni kweli binadamu mwenye mwili huu hawezi kushika sheria ya Mungu.

Kosa la mwanadamu ni kutamani maarifa ya ujuzi wa mema na mabaya.
Awali aliumbwa kujua mema tu hadi hapo alipokula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Mungu akijua wazi kuwa kwa kosa hilo ambalo linamgharimu binadamu kifo,ambapo shetani ni kama alikuwa na wivu wa kuona mwanadamu anapendwa na Mungu alistahili afe kwa makosa yake,Mungu huyu huyu anayetupenda alifanya mpango wa wokovu wa mwanadamu.
Ndipo alimtoa mwanaye wa pekee afe kwa ajili ya mwanadamu,na kila amwaminiye asipotee,Bali awe na uzima wa milele.

Kwa hiyo imeandikwa katika warumi 8:1 ya kuwa "Hakuna hukumu ya adhabu juu ya aliye katika Kristo Yesu.

Wote waaminio tunahesabiwa haki bure kwa neema tu.Mungu mwenyewe aliyetuumba upya,ata install application na updates za kutufanya tuwe watakatifu.Sisi kazi yetu ni kumwamini Kristo naye ataikamilisha kazi aliyoianza ndani yetu.
 
Una hoja[emoji106]
 
ili warumi wapige jackpot au kwa malengo yapi???
Kueneza utumwa na kalitawala bara la afrika, kiufupi Ni ili wapige Ela.

Hakuna dhehebu tajiri duniani Kama waroma, wanamiliki robo ya utajiri wa Dunia nzima[emoji4]
 
Mtoa mada nenda hospitali iliyo karibu nawe kwa ajili ya vipimo vya mkojo.
It seems kama sio kichocho basi ni U.T.I sugu inakuandama.
Sasa shetani atakuwaje ni mtumishi wa Mungu wakati kwa mujibu wa maandiko yeye kafukuzwa kwenye rehma za Mungu

?
?
?
 
Katika dini ya ISLAMIC huyo kiumbe muasi alikuwa anaitwa IBILIS baada ya kuasi ndio akaitwa SHETANI.


MUNGU mmoja aliwaita Malaika mbele yake na akiwepo IBILISI ambaye yeye pia alikuwa ni miongoni mwa malaika maana kabla ya kufanywa kuwa malaika alikuwa ni JINI.

Kwahiyo MUNGU mmoja akaweka vitu mbele yao wale Malaika na akawaambia wavitaje majina ya vitu vile...Hakaki walishindwa na hapo MUNGU mmoja akamwambia ADAM awatajie majina ya vile vitu na kwale Adam alivitaja vyote maana tayali alishapewa elimu ya kujua majina ya vitu.

MUNGU mmoja akawaambia malaika wamsujudie Adam yaani kuumpa heshima kweli malaika wakafanya vile ispokuwa IBILIS alikataa.

Hapo sasa balaa ndio lilipo anzia 😂😂😂😂😂😂😂

Baada ya kulaniwa sasa ndio akaitwa SHETANI.
 
Isaiah 45:7


7 I form the light, and create darkness:
I make peace, and create evil:
I the Lord do all these things.
 
Mpingeni shetani naye atawakimbia (Yak 4:7-10). Huyu sio mtumishi mwaminifu wa Mungu!
 

Shetan alikua malaika wa sifa! (Chawa wa Mungu) baada ya kupata sifa zikazidi kichwa na kuamua kujifanya kuwa Mungu ndipo akalaaniwa!
Ila kweli shetan ni mtiifu wa Mungu
 
Shetani kimsingi ni wewe na wengine wanaoamini katika. ngonjera hizi.
 

Story ya yakobo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…