Uhalisia wa Shetani (Utaifahamu kweli, na hiyo kweli itakuweka huru)

Uhalisia wa Shetani (Utaifahamu kweli, na hiyo kweli itakuweka huru)

Mtoa mada umewaza vizuri sana[emoji1531][emoji1477].

Kwa maneno mengine shetani ni mshtaki wetu, anatushtakia kwa Mungu. Kwa upande mwengine Yesu ni Mtetezi wetu, Anatutetea kupitia kujitoa Kwake msalabani ndio maana Anatuambia tutubu tusamehewe na tusirudie tena dhambi.

Na kwa hali ilivyo, shetani anaenjoy sana anavyowasilisha mashtaka (negative info) kwa Mungu, akitarajia adhabu kali kwa huyo binadamu husika. Hapo ndio Anaibuka Mtetezi na sera Zake za uzima wa milele.

Wanasema shetani hana nguvu mbele ya binadamu ila ni binadamu mwenyewe kwa hiari yake anajitoa ufahamu, kisha mambo yakibumbuluka lawama kwa bob sheta..
Hebu tujitafakari wadau.

Mungu anamuamini Binadam kuliko shetan!
 
Back
Top Bottom